Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,471
- 23,744
- Thread starter
- #61
Akili ya Mwafrika..hata kujenga hoja haiwezi. Huishia kutukana au kukashifu tu. Ni nadra sana kwa kizazi hiki kukuta mtu anabishana kwa hoja asilimia 95 atatukana .na bado atadhihirisha ukoloni kwa kutumia tu maneno twa kiingereza.....yaani tunarudi kule kule nilikosemaHUNA AKILI....hizi mada hatutoacha kuzitoa mpka pale mtakapojirekebisha, najua wengi hamjui kwann matatuzo hayakwish afrika, na hamuwez elewa mpka mrudi nyuma ya historia yenu tena nje ya elimu za kikolon mlizokalilishwa na kujiona sasa mpo sawa na hao watu weupe mnaowaabudu.
Shame on you, tatzo linaanzia pale mlipoanza kuwaabudu hao watu, mmewakumbatia na kuwaona miungu watu, hatukatai kuna muingiliano wa maendeleo kat ya afrika na nchi zilzoendelea, unapomsema muafrika anatumia technology ya mzungu, jiulze mzungu anapata wap materials zakubuni hizo tools? jiulize nyuma ya pazia(chanzo cha izo technologies wahasisi wake ni kina nani?) acheni kujiona mna usawa kati ya races na kuzani hao watu wanawapenda sana, utajiri wa nchi zao umetokana na afrika by80% ukubali ama ukatae, ushenzi aliofanyiwa muafrika hautosahaulika hata miaka ipiye vip, najua watu kama mtoa post hawapend ukwel na itakuwa wew ni jamii ya watu weupe ama una dalili za kiwasujudu hao watu ili ulazimishe undugu baina ya bkack and white.
Hizo mada mm pia ni mmoja wapo wa wanaozitoa na sitoacha kutoa maana zinawatoa gizan wapumbv kama mtoa post, watu kama wew mnakuwa na vifungo vingi akilin mwenu ambavyo vnawafanya mujione safe& much know , kumbe ni useless kabisa...vitu kama dini, elimu,siasa, vimeshawapoteza vimewafanya watumwa na kudharau mkipotoka.....SHAME ON YOU