Hii dhana ndiyo inayotufanya sisi watu weusi tuendelee kuwa dhaifu

HUNA AKILI....hizi mada hatutoacha kuzitoa mpka pale mtakapojirekebisha, najua wengi hamjui kwann matatuzo hayakwish afrika, na hamuwez elewa mpka mrudi nyuma ya historia yenu tena nje ya elimu za kikolon mlizokalilishwa na kujiona sasa mpo sawa na hao watu weupe mnaowaabudu.

Shame on you, tatzo linaanzia pale mlipoanza kuwaabudu hao watu, mmewakumbatia na kuwaona miungu watu, hatukatai kuna muingiliano wa maendeleo kat ya afrika na nchi zilzoendelea, unapomsema muafrika anatumia technology ya mzungu, jiulze mzungu anapata wap materials zakubuni hizo tools? jiulize nyuma ya pazia(chanzo cha izo technologies wahasisi wake ni kina nani?) acheni kujiona mna usawa kati ya races na kuzani hao watu wanawapenda sana, utajiri wa nchi zao umetokana na afrika by80% ukubali ama ukatae, ushenzi aliofanyiwa muafrika hautosahaulika hata miaka ipiye vip, najua watu kama mtoa post hawapend ukwel na itakuwa wew ni jamii ya watu weupe ama una dalili za kiwasujudu hao watu ili ulazimishe undugu baina ya bkack and white.

Hizo mada mm pia ni mmoja wapo wa wanaozitoa na sitoacha kutoa maana zinawatoa gizan wapumbv kama mtoa post, watu kama wew mnakuwa na vifungo vingi akilin mwenu ambavyo vnawafanya mujione safe& much know , kumbe ni useless kabisa...vitu kama dini, elimu,siasa, vimeshawapoteza vimewafanya watumwa na kudharau mkipotoka.....SHAME ON YOU
Akili ya Mwafrika..hata kujenga hoja haiwezi. Huishia kutukana au kukashifu tu. Ni nadra sana kwa kizazi hiki kukuta mtu anabishana kwa hoja asilimia 95 atatukana .na bado atadhihirisha ukoloni kwa kutumia tu maneno twa kiingereza.....yaani tunarudi kule kule nilikosema
 
1. Unazingua aisee Kwani Ghana sikuna makabila yake na kila kabila lina utaratibu wake kuwapa watoto majina tofauti na kabila yeyote kwasababu kila kabila lina lugha yake , ukisika Masanja unajua huyu Msukuma na nimtanzania , hivyo ata Nigeria na Ghana hivyo hivyo

2.ndio kujichubua ni ujinga , kuongeza makalio ni ujinga na kuvaa mawigi ni ujinga na mengineyo kama kumfanya Allah Mungu wa waarabu kuwa Mungu wako wewe mtu mweusi nao ni ujinga pia
Unaongea vitu vya kufikirika tu, huwezi kutofautisha mtu kutoka North Korea na South Korea kwa kutumia majina maana majina yao ndio hayo hayo hakuna tofauti japo mataifa tofauti, waarabu nao utawatofautisha kwa kutumia majina?

Nikwambie tu kwamba waafrika hatujawafikia hao Asia kwa kuishi maisha ya kizungu, ila ninyi kwa sababu mmechagua tu kuangalia sijui majina ila ukiangali kiasi kikubwa mfumo mzima wa maisha wa hao wachina au huko south korea utaona wameathiriwa sana uzungu ila huku kwetu wenye kuishi hayo maisha ya kizungu tunawaita wa kishua.
 
Akili ya Mwafrika..hata kujenga hoja haiwezi. Huishia kutukana au kukashifu tu. Ni nadra sana kwa kizazi hiki kukuta mtu anabishana kwa hoja asilimia 95 atatukana
Hapa ni kwa waafrica wabongo Land! kindaki ndaki! forum ya waaarubu kulee alqaida! au huijui ilipo? kukwambia ukweli siyo matusi!! anayekutukana Nyani!! siyo tata nyarusare! Ni Mzungu huyooo! unae muona Bora kwako lkn siyo mimi!

Lkn mnaufyata km maji ya bwawa!! Floid kafa tu ajili ya chuki zao bado unamuona mzungu ana haki! weweeeee!
 
Mimi hunijui ni sawa tu huyo baba yako nisiyemjua, ila najua kwamba lazima uwe na baba sasa utasemaje ni hewa? Huyo baba yako aliyekuzaa wewe ndio kilaza, sihitaji kumjua kama ambavyo wewe hujui kama jii ID inatumika na nani au akina nani ila unanita kilaza.
Unaonesha ulivo kilaza zaidi !! Muongo!

sikia!! mie nakujua kupitia avatar yako hii! na maelelzo yako ya ukilaza! Baba yangu humjui sababu hata humu hayumo! lkn wewe umo unanijibu!..... mie nakujua kupita hii avatar yako ndo maana nakujibu kwa level ya ukilaza! flani ivi wa Mkoa!
 
Hapa ni kwa waafrica wabongo Land! kindaki ndaki! forum ya waaarubu kulee alqaida! au huijui ilipo? kukwambia ukweli siyo matusi!! anayekutukana Nyani!! siyo tata nyarusare! Ni Mzungu huyooo! unae muona Bora kwako lkn siyo mimi!

Lkn mnaufyata km maji ya bwawa!! Floid kafa tu ajili ya chuki zao bado unamuona mzungu ana haki! weweeeee!
Tatizo lingine la mtanzania mwafrika ni kwenye uelewa. Yaani anaweza akasoma halafu akaja na hoja ambazo hazipo zimetengenezwa katika bongo zao. Mwambie mtu akusomeee akueleweshe ambacho kimeandikwa.
 
HUNA AKILI....hizi mada hatutoacha kuzitoa mpka pale mtakapojirekebisha, najua wengi hamjui kwann matatuzo hayakwish afrika, na hamuwez elewa mpka mrudi nyuma ya historia yenu tena nje ya elimu za kikolon mlizokalilishwa na kujiona sasa mpo sawa na hao watu weupe mnaowaabudu.

Shame on you, tatzo linaanzia pale mlipoanza kuwaabudu hao watu, mmewakumbatia na kuwaona miungu watu, hatukatai kuna muingiliano wa maendeleo kat ya afrika na nchi zilzoendelea, unapomsema muafrika anatumia technology ya mzungu, jiulze mzungu anapata wap materials zakubuni hizo tools? jiulize nyuma ya pazia(chanzo cha izo technologies wahasisi wake ni kina nani?) acheni kujiona mna usawa kati ya races na kuzani hao watu wanawapenda sana, utajiri wa nchi zao umetokana na afrika by80% ukubali ama ukatae, ushenzi aliofanyiwa muafrika hautosahaulika hata miaka ipiye vip, najua watu kama mtoa post hawapend ukwel na itakuwa wew ni jamii ya watu weupe ama una dalili za kiwasujudu hao watu ili ulazimishe undugu baina ya bkack and white.

Hizo mada mm pia ni mmoja wapo wa wanaozitoa na sitoacha kutoa maana zinawatoa gizan wapumbv kama mtoa post, watu kama wew mnakuwa na vifungo vingi akilin mwenu ambavyo vnawafanya mujione safe& much know , kumbe ni useless kabisa...vitu kama dini, elimu,siasa, vimeshawapoteza vimewafanya watumwa na kudharau mkipotoka.....SHAME ON YOU
Hayo material wanayochukua africa Kama malighafi wao wenyewe ndo wamegundua kazi yake Ni Nini , wasingegundua ata tusingejua dhamani yake Ni nni
 
Unaonesha ulivo kilaza zaidi !! Muongo!

sikia!! mie nakujua kupitia avatar yako hii! na maelelzo yako ya ukilaza! Baba yangu humjui sababu hata humu hayumo! lkn wewe umo unanijibu!..... mie nakujua kupita hii avatar yako ndo maana nakujibu kwa level ya ukilaza! flani ivi wa Mkoa!
Kama wewe umetumia Avatar yangu humu na kudhani ndio umeweza kunifahamu mimi basi na mimi nakutumia wewe kuweza kujua kuwa aliyekuzaa wewe ambaye ni baba yako kuwa ni kilaza, haihitaji yeye kuwa humu JF.
 
km haihitajinyeye kuwa humu unamtaja wa nini?
 
Tatizo lingine la mtanzania mwafrika ni kwenye uelewa. Yaani anaweza akasoma halafu akaja na hoja ambazo hazipo zimetengenezwa katika bongo zao. Mwambie mtu akusomeee akueleweshe ambacho kimeandikwa.
Tatizo la kata!! siyo kila mtu ni mtanzania! unatamani uarabu uliofanya babu zako vibaya!! watakuona kafir tu!! km amekuja na hoja nyingine mbona unamjibu? uoni kuwa hujui kuwa hujui?
 
Tatizo lingine la mtanzania mwafrika ni kwenye uelewa. Yaani anaweza akasoma halafu akaja na hoja ambazo hazipo zimetengenezwa katika bongo zao. Mwambie mtu akusomeee akueleweshe ambacho kimeandikwa.
kutaja uafrica wkt wewe ni mweusi ni udhaifu mkubwa/ mbaya sana! yamkini nina shaka na shule yako!! hivi unajua neno uafrica manake nini au umekusudia kuropoka tu ndugu! ukiwa tu! Muarabu koko nitakusamehe bure!

lkn km ukiwa Mmatumbi pyuuu! mweusi ntakulaani mpaka kizazi cha tatu na cha nne! kwa wamsemae huyo ndiye...... ukibisha jipe muda!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom