Hii dhambi ni nani anastahili toba?

RECEIPT

JF-Expert Member
Nov 6, 2013
284
198
Ndugu Watanzania Mimi siyo Mwandishi sana humu. Ila huwa napitaga na kusoma mijadara yenu. Ninawapongeza wote mnaotufungua akili kupitia mijadala ya humu Ndani ambayo hakika hutufanya kujua mambo mengi hasa yahusuyo Taifa .

Leo nataka kushare nanyi juu ya hili jambo la Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu. Hivi ukimya wa humu JF kukaa kimya bila kutoa tamko kwa serikali kuwanyima wadogo zetu mkopo hamjaliona? Kwa mjibu wa maelezo ya bodi yanayokinzana na ya Mh Ndalichako, waombaji walikuwa elfu 88, waliopata mkopo ni 20000.

Hebu angalia mtoto amesoma shule ya kata yenye Ada ya 20000, akaenda kidato Cha tano na 6 alikuwa analipa Ada kwa kuunga unga, yaani kuuza ndizi na viazi. Leo huyo mtoto anapelekwa Nyerere Memorial Academy Ada shilingi 1115000 unamwambia Huna mkopo unauwezo wa kujilipia. Hivi tunapeleka wapi Taifa? Ni ni Dhamira ya Ndalichako? Ni kwamba ma into zetu waende kufanya biashara ya mwili ili waishi au?
 
hii nchi inataka kujaribu ujinga baada ya kuona elimu ni ghali.

cha ajabu viongozi wa juu wote wametokea kwenye umasikini mkubwa na njaa kali,sasa wanasahau "masikini" na "wanyonge" waliojinasibu kuwatetea
 
Ndugu Watanzania Mimi siyo Mwandishi sana humu. Ila huwa napitaga na kusoma mijadara yenu. Ninawapongeza wote mnaotufungua akili kupitia mijadara ya humu Ndani ambayo hakika hutufanya kujua mambo mengi hasa yahusuyo Taifa .

Leo nataka kushare nanyi juu ya hili jambo la Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu. Hivi ukimya wa humu jf wa kukaa kimya bila kutoa tamko kwa serikali kuwanyima wadogo zetu mkopo hamjaliona? Kwa mjibu wa maelezo ya bodi yanayokinzana na ya Mh Ndalichako, waombaji walikuwa elfu 88, waliopata mkopo ni 20000.

Hebu angalia mtoto amesoma shule ya kata yenye Ada ya 20000, akaenda kidato Cha tano na 6 alikuwa analipa Ada kwa kuunga unga, yaani kuuza ndizi na viazi. Leo huyo mtoto anapelekwa Nyerere Memorial Academy Ada shilingi 1115000 unamwambia Huna mkopo unauwezo wa kujilipia. Hivi tunapeleka wapi Taifa? Ni ni Dhamira ya Ndalichako? Ni kwamba ma into zetu waende kufanya biashara ya mwili ili waishi au?

= mijadala
 
Back
Top Bottom