Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 557
Nina dell latitude E5430 Ram yake 4GB ina 64bit n Core I5 gen 3
Inaweza fit windows 11 wakuu
Inaweza fit windows 11 wakuu
nina dell latitude E5430 Ram yake 4GB ina 64bit n
Core I5 gen 3
inaweza fit windows 11 wakuu
Hii haiwezi koz TMP 2.0 INAANZIA SANA KWENYE GENERATION YA 7nina dell latitude E5430 Ram yake 4GB ina 64bit n
Core I5 gen 3
inaweza fit windows 11 wakuu
ngoja nichek mzeeInaweza install kiulaini endapo ina UEFI na TPM 2.0. ila pia hata kama haina TPM unaweza ku install kiujanja ujanja ila perfomance inaweza kushuka.
Laptop nyingi za Dell Latitude za kuanzia mwaka 2014 zilitoka na TPM ila hiyo nadhani ni ya zamani,. Unaweza kuingia kwenye bios kuangalia kama inayo tpm.
ngoja nibaki na windows ten pro yangu tuNA processor ya hyo PC haisaport
Kiujanja unainstall sema itakusumbua sana mkuu baada ya kuinstall speed ya PC yako inakuwa kama konokonongoja nibaki na windows ten pro yangu tu
unaweza run android app bila blue stackWindows 11 ina kitu gani cha maana
Bado iyo Feature ijaongezwaunaweza run android app bila blue stack
Yangu option ya Tpm ipo imeandikwa tpm security so naweza run win 11 wadauWindows 11 haikubali kwa processor za zamani na hata kama ina support UEFI na TPM 2.0, ila kama unataka kuweka bila kujali hizo restrictions itabidi uedit file la appraisers.dll kwenye sources folder
Tpm ipo ila imeandika tpm security sijaona iyo 2.0Inaweza install kiulaini endapo ina UEFI na TPM 2.0. ila pia hata kama haina TPM unaweza ku install kiujanja ujanja ila perfomance inaweza kushuka.
Laptop nyingi za Dell Latitude za kuanzia mwaka 2014 zilitoka na TPM ila hiyo nadhani ni ya zamani,. Unaweza kuingia kwenye bios kuangalia kama inayo tpm.
Kujua version ya tpm chip, fungua RUN, type tpm.mscTpm ipo ila imeandika tpm security sijaona iyo 2.0