Habari wadau!
Katika mapumziko ya wiki nimeamua kwenda kujionea huduma lukuki na nzuri zitolewazo eneo la maonesho ya sabasaba!
Jambo kubwa lililo nifurahisha ni ile customer care waliyo nayo wahudumu ktk ofc binafsi na zile za umma!
SWALI: Ile customer care waliyonayo pale sabasaba Je inawashinda vipi kuwa nayo hata siku za kawaida ktk maofisi yao? au ile customer care waliyo nayo pale ni sehem pia ya maonyesho ya 77 Itakayo koma tarehe 10/7/2016?
Chanzo huduma mbovu katika taasisi siku za kawaida huwa ni nini?
Karibuni tujadili.