Hii cheni aliyovaa dada wa saluni ni ya dhahabu au Silva?

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,276
6,585
31265262_223184591767838_8509912465541485201_n.jpg
 
Mfanya huduma hana kitambi ina maana kichwa chako cha juu kitagusa tumbo, kitovu na ukijipinda zaidi kuelekea chini, kwa ufupi wa mtoa huduma basi utakihisi na kitumbua!!..
Wapiga zumali kwanini hamjaandamana!?.
 
Mwanaume unaendaga kufanya scrub? Duhhh daslama kaaaazi kweli kweli
sio Scrub mkuu ukimaliza kunyoa unaingia chemba kidogo kwa ajili ya kusafishwa nywele, hata hivyo scrub sio Mbaya, Wa mikoani huwa wanaona ni Ushamba.
 
sio Scrub mkuu ukimaliza kunyoa unaingia chemba kidogo kwa ajili ya kusafishwa nywele, hata hivyo scrub sio Mbaya, Wa mikoani huwa wanaona ni Ushamba.
Mkuu anayofanyiwa mshikaji hapo ni face scrubbing sio kuosha nywele after shaving
 
Haka kahuduma ka scrub huwa nakakwepa sana. Nakumbuka 7yrs ago wkt naoa bestman aliniforce sn mpk nikafanya. Sasa pale mbele kila saa najiona natoka jasho aisee..!!! Ushamba mzigo sn. Sijafanya tena mpk leo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom