Hiki chakula kwa lugha ya kwenu wanaitaje?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
810107cd-1aee-40d6-8863-f7febf2ddce8.jpg
 
tatizo la haya madude huwa ni ladha yake mseto

unawezakula kipande A ukakuta poa sana.
kipande B kikawa kile kisichoiva,C ukakuta mzizi,D ukakuta kichungu,mpaoa hapo na mzuka unakata
 
Back
Top Bottom