Hii barua ya Bunge kwa umma kuhusu matibabu ya Lissu. Vipi Bunge liseme halijui Lissu alipo?

Sijui kwa utumishi wa Kibunge lakini kwa watumishi wengine wote wa Umma hata kama bosi wako atakuja kukusalimia hosipitalini na mkakesha naye kama hakuna barua rasmi ya taarifa za ugonjwa wako kutoka kwako, siku Ofisi wakiamua kuchukua hatua juu yako hutakuwa na jinsi.
 
Pamoja na yote kesho utawaona wapo makanisani eti wanasali...unabaki unacheka tu...na kujiuliza why wasting time ...any way Mungu mwenyewe ndie anajua...ila kiukweli serikali ya awamu hii ya tano inapoteza credibility day by day...
 
Unadhani bavicha watakuelewa
Sijui kwa utumishi wa Kibunge lakini kwa watumishi wengine wote wa Umma hata kama bosi wako atakuja kukusalimia hosipitalini na mkakesha naye kama hakuna barua rasmi ya taarifa za ugonjwa wako kutoka kwako, siku Ofisi wakiamua kuchukua hatua juu yako hutakuwa na jinsi.
 
Sijui kwa utumishi wa Kibunge lakini kwa watumishi wengine wote wa Umma hata kama bosi wako atakuja kukusalimia hosipitalini na mkakesha naye kama hakuna barua rasmi ya taarifa za ugonjwa wako kutoka kwako, siku Ofisi wakiamua kuchukua hatua juu yako hutakuwa na jinsi.
Kwaio barua rasmi ya ugonjwa wako unaiandika wewe mwenyewe au daktari?
 
Back
Top Bottom