Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,563
- 217,905
Sababu alizotaja Ndugai kuhusu Lissu kufutwa ubunge zinaenda kutenguliwa Mahakamani asubuhi sanaView attachment 1142167
Na barua nyingine hii hapa chini pia ilitolewa na bunge hilo hilo
View attachment 1142181
Nyningine hii kutoka kwa Spika mwenyewe akitoa taarifa za mbunge wake, Lissu kushambuliwa kwa risasi
View attachment 1142191
View attachment 1142199