Hii bank imenitisha!!!wapendwa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
AccessBank Tanzania is a full commercial bank providing micro, small and medium-sized enterprises (MSMEs) with a broad range of appropriate financial services. Established in 2007, the bank is owned by a multinational shareholder group and member of an emerging global network of commercial microfinance banks (the "Access Group") with headquarters in Berlin/Germany.

AccessBank is among the fastest-growing banks in Tanzania with demonstrated record in offering excellent long-term career development opportunities for fresh graduates and young professionals. As deliberate effort to widen employment opportunities to different segments in the labour market, we have now established a special program for non- graduates who aspire to learn and work as Loan Officers in our Dar es Salaam Branches. This is a very dynamic and comprehensive program which is comprised of detailed training series, including, theories and practical sessions, coaching and mentoring processes. We therefore invite all young self-motivated and enthusiastic individuals who meet the criteria listed hereunder to apply. Do not miss this rare opportunity;

Responsibilities:

Marketing and attracting potential business loan clients

Conducting on-site business and risk assessment of loan applicants

Preparing loan proposals and presenting them in a credit committee

Loan monitoring and recovery.

Interested candidates must be ready to work extensively outside the office. If you prefer desk-based jobs, please look out for other vacancies advertised by the Bank from time to time.

Qualifications:

Education: Good Form Six leavers / equivalent qualification but NOT Diploma or Degree Holders. Form four leavers with additional certificates in different fields will also be considered.

Work experience - also being employee or entrepreneur in a very small business may be an added advantage ( e.g. owning or working in a shop)

Proactive, dynamic, entrepreneurial drive

Analytical skills and capacity to work under significant pressure

Computer literacy: Basic command of standard office applications.

Languages: Ability to communicate in both English and Kiswahili

Application mode:

Applications may be made through our online application form that is found on our website Access Bank or submitted to our head office - located at Kijitonyama, opposite Makumbusho Village, latest 5th December 2010. Please refrain from sending any attachments via the website. Please Note; Diploma/ Degree Holders are not accommodated in this program, their separate programmes will be advertised from time to time as usual
 
Nilishawahi kufanya interview nao/......is real are there for cheap.......yaani wao maximum mshahara wao ni laki na nusu, sasa watu wa diploma na b.tech tulikuwa against nao sana abt this...naona sasa hivi wamekuwa specific kwamba hawawataki watu wa degree.......thatz very bad..poor them
 
I beg to differ... mtu haitaji degree kuesabu, kupokea na kulipa wateja pesa au ? Kwa kifupi, a bank teller anahitaji kujua kusoma na kuandika tu...
 
Hao jamaa mishahara yao iko chini kidogo kuweza kuwapa watu wenye mavyeti nadhani ni kwa vile bado wanakua.
 
Hao jamaa mishahara yao iko chini kidogo kuweza kuwapa watu wenye mavyeti nadhani ni kwa vile bado wanakua.
Siamin ktk kukua ambapo kampuni nyingi zimekuwa zinajidefend,how long does it take kwa org kudeclare imekuwa na kuacha kunyonya watu kwa kuwalipa pesa kidogo hebu tufikirie jamani!!Tanzania inaweza kuwa nchi inayoongoza kwa kufavor wawkezaji when it comes to ajira,na huwa wanafurahia sana hali hii!!Nchi za wenzetu vibarua wanalipwa pesa nyingi sana na wanajali masaa mtu anayofanya kazi lakini siyo kwetu!!Niliona mradi wa wachina wa barabara vibarua wanaolipwa shs 2000 kwa siku ukiangalia muda na kazi anayofanya hata haviendani na bado manyanyaso kibao na anawatishia sbb ana uwezo wa kupata wengine!!Sijui hizo proposal zinaangaliwaga vizuri kweli?!!Kwa kweli Kama org haijakuwa isubiri ipate capital ya kutosha ndio ije kuanzisha miradi sio kuja kunyonya watu hapa!!!
 
Nilishawahi kufanya interview nao/......is real are there for cheap.......yaani wao maximum mshahara wao ni laki na nusu, sasa watu wa diploma na b.tech tulikuwa against nao sana abt this...naona sasa hivi wamekuwa specific kwamba hawawataki watu wa degree.......thatz very bad..poor them

Wanatumia Demand and supply driven opportunities, if labour supply is plent then they normally have an advantage kudengua and vice versa. Isitoshe wanaangalia what happens na serikalini pia mishahara ni midogo so they learn from our mistakes. Just be Strategic!!!
 
Hao jamaa mishahara yao iko chini kidogo kuweza kuwapa watu wenye mavyeti nadhani ni kwa vile bado wanakua.

ukiona hivyo hata maboss wao shule mgogoro na kama wana degree basi vihiyo ...kuwen makini sana na bank kama hiizi zinaishia kuwakimbia kama greenland bank mnaikumbuka??watu wmelia mpaka wamekufa bila malipo
 
Education: Good Form Six leavers / equivalent qualification but NOT Diploma or Degree Holders. Form four leavers with additional certificates in different fields will also be considered.

uiktaka kujua hata viongozi wao ama maboss wao ni vihiyo soma hapo we nani mwenye goodformsix leavers akakae bank aache kwenda chuoni..ama wanaamaanisha mabinti wazuri wa form six,..maana pale kijitonyama yani lunch tym unakuta ni showtym tupu ring miguuni kwa kwenda mbele haya nawatakien kila la kheri ila hela yangu uko sahauni labda subirin desi nyingine
 
inawezekana ni kazi kwa ajili ya wasio na elimu kubwa.sasa ukiipenda ukubali na malipo watayokupa.ndo maana wamesisitiza.sasa za wenye diploma na degree nazo zitakuja awamu nyingine amemalizia.
 
Tatizo sio ACCESS ni cc wenyewe waTZ maana tuko cheap, laiti kama tungegoma haya yote yasingetokea,lakini mtu anaresign pale mshahara mdogo kesho mwingine anaingia huoni kuwa hizo ni shida zetu cc wabongo? Waache watunyoye tu. Maana wajinga ndo waliwao!

Na ukitaka kujua kuwa cc ni mizoba Ukienda pale utaona watu wanapeleka application kila kukicha........!! nani alaumiwe?
 
I beg to differ... mtu haitaji degree kuesabu, kupokea na kulipa wateja pesa au ? Kwa kifupi, a bank teller anahitaji kujua kusoma na kuandika tu...

Kwa haya unayosema ndiyo maana hatuendelei kabisa. Hivi mpaka leo karne ya 21 mtanzania unathubutu kusema maneno kama hayo??
 
Kwa haya unayosema ndiyo maana hatuendelei kabisa. Hivi mpaka leo karne ya 21 mtanzania unathubutu kusema maneno kama hayo??

I dont see anything wrong with that.Besides you never this might be temporary jobs and they might not be demanding a graduate education level.Hebu tuwe was kweli hata kama you're being paid 50,00 tsh per month come one i dont think there is anyone hata kama ni baba yako will be capable of giving this money for free even to his lovely child who doesnt work.I mean dont you guys think there are people who are in desperate need for any sort of income?.Have you ever of breakeven? Hata kama ni wewe una kaduka chako huwezi kumlipa mfanyakazi wako alot of money wakati hujaanza kupate profit. Myself i dont see anything wrong at all with it.The thing is mtu anapata hata sehemu ya kujishikiza kwa muda at least anaweza kujinunulia personal things kuliko kutegemea wazazi.After sometimes akipate better job anakwenda.Please let's look at the positive side of it not crashing anything bila kufikiri they are at least helping alot of people out their.Put yourself in the shoes of this desperate boys/girls mtu hata hela ya sabuni hana why woudnt take it.I mean tusipende kukosoa vitu tu bila kuangalia the positive side of it.
 
Jamaa wameibiwa sana na magraduate. Nafaham some of people walionzia hapa tym ile tunasota kitaani.
Wana branch manager wao mmoja ni six leaver wenyewe wanamfagilia balaa ktk web yao.
The moja reasons ni kwamba hawa jamaa hawana job security kabisa,mishahara mibovu,poor working condition,targets za hatari,hawana KPI zitakazofanya upande salary levels.
VERY POOR EMPLOYER,bora hata ufanye SACCOS.
 
Hebu kuwa transparent, hakuna haja ya kuficha! mtaje huyo BM wao na yuko Branch gani yawezekana yeye labda ndo ana vyeti feki hivyo utakuwa umetoa msaada mkubwa kwao! Lakini kila mwajiri ana haki ya kutoa ajira kwa mtu anayemuhitaji? mbona serikarini kuna mpaka darasa la saba?
 
Yote tisa. Mimi ningeoba AcessBank waajiri Mtu COMPETENT kwenye nafasi ya kujibu Queries za wateja. Nimetuma zaidi ya Queries SITA mpaka sasa sijapata jibu hata moja, Unless ile email kwa ajili ya queries za Wateja ni mbovu muda mrefu!!
 
Nilishawahi kufanya interview nao/......is real are there for cheap.......yaani wao maximum mshahara wao ni laki na nusu, sasa watu wa diploma na b.tech tulikuwa against nao sana abt this...naona sasa hivi wamekuwa specific kwamba hawawataki watu wa degree.......thatz very bad..poor them

Wateja wa benki hii, inatoa huduma nzuri kweli kwa wateja?
 
Mhh!!!!!! they are after cheap Labour........!!!!

Na hii cheap labour hii kuna siku tutakuja kutoana roho jamani.

Mie nafanya kazi kampuni moja ya wahindi, boss anakwenda hadi sokoni kuulizia bei ya vitu halafu ndio anakuja kupanga mishara. Ukimwambia maisha yako juu anaanza kukutolea data, "maharage yanauzwa.... sukari..... sasa kwa nini unasema mshara hautoshi" Tutaishi kweli namna hii, hapana bwana!
 
Afadhali mmenifungua macho, nilikuwa sina hili na lile kuhusu benki hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom