Bajeti imebakisha miezi mitatu tu, kuna mambo mengi yaliahidiwa kutekelezwa kwenye bajeti hayajatekeleza. Na serikali inadai uchumi uko vizuri kwahiyo fedha ipo.
Sasa niulize fedha ya kuwaajiri wale vijana 71000 tulioambiwa imeenda wapi? Ukipiga mshahara na marupurupu je hiyo si hela nyingi sana kwa serikali kuipoteza bila maelezo?