Hii ajali inaliza Jamani!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ajali inaliza Jamani!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiroroma, May 24, 2011.

 1. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Let's Pray to God for all time protection.

  This happened to a lady at the port of mombasa on saturday 29th January.
  A train run over her, while she was enjoying music on her cell phone,
  through her ear phones. people tried to alert her but it was too late.

  The lady is fighting for her life at the ICU.


  View attachment 30631 View attachment 30632 image001.jpg image004.jpg
   
 2. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  mungu wangu, ajali mbaya sana...
  pliz picha hizi usiweke tena loh.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  asante kwa precaution.ungeweza kuweka warning hapo kwenye heading sensitive viewers wasifungue.hapa nna wiki ya nightmares!
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,628
  Trophy Points: 280
  Pole sana. Hivi amekufa? Si wamuwahishe hospitali jamani?
   
 5. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,743
  Trophy Points: 280
  aisee umeniharibia siku jamani.picha zingine zitatuuwa
   
 6. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kwa kweli ni ajali mbaya sana hopefully she will survive.i have learnt a good lesson here
   
 7. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  angeandika maneno tu ingeonekana kama chai tu lakini hizi picha ni kithibitisho tosha kabisa na somo tosha.
   
 8. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  nafijiri wananchi tuwe more responsible na maisha yetu kuweza kupunguza ajali zinazoweza kuzuilika,tunaendesha gari huku hatujafunga mkanda,tumelewa,tunaongea na simu,tunavuka barabara kiholela
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  na hivi kwetu huku JK anataka kuweka treni kutoka tabata mapka posta..hahaaaa kwa kweli tujihadhari
   
 10. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  ajali mbaya sana sana. sioni huyu mama ataponaje. nadhani ameshafariki, manake hao watu around hawana hata matumaini ya kupona kwake. vinginevyo wangefanya jitihada za kumwahisha hospitali. ni kifo cha kusikitisha, hususan alikuwa bado kijana sana
   
 11. S

  Somi JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2011
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hii picha inaonyesha sisi binadamu sio chochote , tupende kusali sana makanisani na tuheshimiana wenyewe kwa wenyewe pasipo kumdharau yoyote, tuwaheshimu walemavu na kuwapa misaada
   
 12. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2011
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ..Are these pictures for real??? Hivi hao wanaume hapo ndio wamepigwa na bumbuazi ama nini? how come hakuna hata mmoja wapo aliyemsogelea huyo dada wa watu angalau tu kumpa maneno ya kumfariji ambayo ni muhimu sana kwa majeruhi yeyote katika kipindi kigumu kama hicho?? Ninashangaa sana jinsi wanavyoishia kushangaa tu kwa mbaali kama wanaangalia mbwa ama paka kakanyagwa na gari na kumbe ni binadamu mwenzao!
   
 13. A

  Al-Mende Member

  #13
  May 25, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ooopss...! Hizi gadgets zatatuua sana hasa sie wanafunzi..!
   
 14. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2011
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Bado najiuliza kweli hii sio photoshop? mbona hawa audience na tukio haviendani? Hata uwe na roho katili vipi kuna ile natural instinct kwa binaadamu yoyote kupatwa na mshtuko kwenye tukio kama hili.
   
Loading...