Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,410
- 36,553
Baada ya kuangalia mechi ya kwanza ya timu ya Kill Stars iliyochini ya Mgunda kama head coach namna ilivyo disorganized na inacheza bila mipango yoyote, MO amekuja na ahadi ambayo anajua kabisa hii timu haiwezekani ikafanikiwa na kuleta kombe la CECAFA.
Najiuliza tu kwa nini aseme saizi baada ya kuona mechi ya kwanza wakipigwa 1-0 na Kenya? Why hakuahidi kabla ya mechi zote kuanza? Kesho tunacheza na Wazenji ambao mara nyingi huwa wanakamia sana na hutufunga.
Kwa namna ile timu inavyocheza kwa wazenji lolote linaweza kutoka, tukipambana sana Tanganyika tunaweza pata sare.
MO anajua anachofanya, timu yetu bado sana.