High quality ya Wachezaji ipo Simba SC

Simba anacheza mpira wa pasi nyingi ili kupata matokeo Yanga mipango mchezoni na siyo hivyo ulivyofikiri wewe. Yan hatuchezi kama nyie sijui mpira utoke kwa kipa then beki mara midfield ndio ufike kwa wafungaji.

Yan callibre ya mpira wa Yanga siyo show off ndio nilichomaanisha Feisal anaweza akapiga ndefu ikamfikia Mukoko au Kisinda akaweka.

Umenishangaza sana mpaka leo unaamini Malinzi alikua anatubeba. Kwa iyo na sisi tuamini Karia anawabeba? Hebu badilisheni mentality bhana
Umesahau goli la mkono au alivyoingilia maamuzi ya rufaa ya simba dhidi ya Kagera
 
Simba anacheza mpira wa pasi nyingi ili kupata matokeo Yanga mipango mchezoni na siyo hivyo ulivyofikiri wewe. Yan hatuchezi kama nyie sijui mpira utoke kwa kipa then beki mara midfield ndio ufike kwa wafungaji.

Yan callibre ya mpira wa Yanga siyo show off ndio nilichomaanisha Feisal anaweza akapiga ndefu ikamfikia Mukoko au Kisinda akaweka.

Umenishangaza sana mpaka leo unaamini Malinzi alikua anatubeba. Kwa iyo na sisi tuamini Karia anawabeba? Hebu badilisheni mentality bhana
Ndio maana T.Prisons iliwasumbua kupata magoli.

Butuabutua ndio unasema mipango mkuu..??
 
Simba tunacheza mpira wa kisasa uwanjani nyie utopolo mpira wenu mnachezea mdomoni tena mkilalamika.Kama mawazo yenu ndio hayo mna safari ndefu sana.Ongea mpira mkuu,visingizio havichezi mpira
Pale Yanga Wale GSM wamewekeza kwenye midomo ya mashabiki.
Yaani wanachoongea nje ya uwanja ni tofauti na wakiwa uwanjani... (Pumba tupu)
 
Back
Top Bottom