hii ni adhabu sana jamani..
angalia hizo cheni utasema ndo anaenda jela bwana...
kama ndo kunachupa zilizovunjika chini hata hiyo twanga pepeta itakuwa chungu....
bwana tunapenda urembo na fashion lakini si adhabu.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.