High Court land division, kuna shida kubwa, CJ wape semina hawa majaji tafadhali!

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,353
73,932
Nimepitia judgements/ rulings nyingi kwa kiasi fulani, kuna kitu kimenishangaza! Judgements/ rulings ni page 2,3,4 . Mh! hukumu page 2! Nyingi ziko katika range hiyo.

Nalinganisha na za wenzao huko nyuma, kuna tatizo liko mbele yetu na hii ilianza wakati wa Kikwete , na sasa Magufuli kuweka majaji bila merits, kwa upendeleo.

Sijui division zingine kukoje, sijasoma.

I was interested in Land cases!
 
Suala ni hiyo judgement ime contain nini?

Hakuna sheria inayoeleza matakwa ya idadi ya karatasi ziwe ngapi kwenye hukumu.
 
inategemea pengine unasoma summary hata hivyo hukumu inaweza kuwa hata page moja,proceedings ndio zinamuongoza jaji kutoa hukumu.Na proceedings inaweza kuwa hata na page 40.
 
Back
Top Bottom