High Court land division, kuna shida kubwa, CJ wape semina hawa majaji tafadhali!

R

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
22,708
2,000
Nimepitia judgements/ rulings nyingi kwa kiasi fulani, kuna kitu kimenishangaza! Judgements/ rulings ni page 2,3,4 . Mh! hukumu page 2! Nyingi ziko katika range hiyo.

Nalinganisha na za wenzao huko nyuma, kuna tatizo liko mbele yetu na hii ilianza wakati wa Kikwete , na sasa Magufuli kuweka majaji bila merits, kwa upendeleo.

Sijui division zingine kukoje, sijasoma.

I was interested in Land cases!
 
B

BISECKO

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
542
1,000

Suala ni hiyo judgement ime contain nini?

Hakuna sheria inayoeleza matakwa ya idadi ya karatasi ziwe ngapi kwenye hukumu.
 
R

RAYAN THE DON

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
587
1,000
Wewe ndiyo mwenye tatizo mkuu. Sheria gani inasema kwamba hukumu lazima iwe na page nyingi?
 
K

kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
23,667
2,000
inategemea pengine unasoma summary hata hivyo hukumu inaweza kuwa hata page moja,proceedings ndio zinamuongoza jaji kutoa hukumu.Na proceedings inaweza kuwa hata na page 40.
 
K

Kelvin Mmary

New Member
Apr 19, 2018
3
20
As a matter of practise INABIDI TUWASHANGAE KWA KWELI lakini tukumbuke hakuna EXPRESS PROVISION inayo specify wanachofanya ni contrary to the law.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom