Hifadhi za Taifa imetoa nafasi nyingi za kazi soma Dairly news ya leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hifadhi za Taifa imetoa nafasi nyingi za kazi soma Dairly news ya leo

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by marykino, Jan 20, 2012.

 1. m

  marykino New Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wana JF , tunaweza kusoma daily news la leo kuna nafasi za kazi mbalimbali, pia nkuna scholarship kwa ajili ya masters na PhD nchini China.
   
 2. Mdau Mkuu

  Mdau Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 236
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Thanx Mdau ngoja tulitafute!
   
 3. M

  Makunga JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 772
  Likes Received: 497
  Trophy Points: 80
  asante mdau,ila wengine huku tulipo kulipata ni issue,ingekuwa bora zaid km ungetuwekea hapa.
   
 4. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  asante kwa taarifa mkuu
   
 5. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  ngoja tulitafute
   
 6. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkilipata msisahau kutushirikisha hapa ni post zipi hizo, wengine hatupo kwenye nafasi ya kulipata.
   
 7. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kuna moja ya internal auditor uwe na (CPA)
  nyingine ni za accounts diplona/advance diploma nafasi 30+
  na offfice attendant kama 5
   
 8. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  wekeni basi hapa, wengine tumepinda hata gazeti hatuwezi kununua
   
 9. n

  nakola hassan Member

  #9
  Jan 20, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ahsante kwa taarifa
   
Loading...