mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,282
- 44,822
Uwanja wa ndege upi ukubwa wake?
Wasikuumize kichwa, Selous kuna sehemu ni kama Kilometers 30 kutokea barikiwa kijijini ile sehemu ukubwa wake sawa na uwanja wa ndege hapaoti nyasi wala mmea wowote hauwezi kuota pale mjerumani alichimbia chini makontena na baadhi ya Mali zake pale Ukiwa na Gps pale haiacsess chochote