Hidden figures ni movie kali sana.

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,885
hii movie inaeleza story ya wanawake watatu waliokuwa wakifanya kazi NASA. kipindi hicho ubaguzi wa rangi upo na wanawake hawaaminiki kwenye sayansi.

477052358d827d647f78149fe2e58ce3.jpg
 
tutupie mkuu ili tuhamasishe vijana wetu wa kike kupenda Masomo ya sayansi.
 
Ha ha ha ha ha. Hizo wanawake hapo ni hatari sana. Chedhea namba wewe. Akakalisha watu kikaoni jaw droped
 
kwenye sinema zetu inaanza kuoneshwa lini huku ma theatre, movie kali kama hizi zinanoga uangalizie century
 
Kwa wasiopenda story stroy hata sio nzuri.

Haina motisha japo ni true story
 
Janelle aliua alipoenda kufanya evening classes, kajasiri sana.
Achana na evening classes, kuna ile meeting ambazo walikuwa hawawaruhusu kabisa wanawake kuhudhuria ni wanaume tu. Then, yeye akawa akiandika barua lile li jitu lina mu ignore. Alivyopata chance, acha awakomeshe kawashushia hesabu wenyewe walishangaa. Mpaka jamaa anaenda kwenye chombo ana demand aongee na jane kwanza.

Ila walikuwa wanawanyanyasa vibaya sana. Waafrika choo chao na wazungu cha kwao. Halafu kule alikoingia jane, hadi vikombe aiseeaaghaa. Wazungu manioko zao
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom