TANZIA Hidaya wa Pepe Kalle afariki dunia jijini Arusha

Bushmamy

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
8,848
15,252
Mwanamama maarufu na mrembo Hidaya Khamis Mtumwa almaarufu Hidaya wa Pepe Kalle amefariki Dunia leo asubuhi jijini Arusha, msiba upo nyumbani kwake Kaloleni.

Hidaya alitamba miaka ya mwanzoni mwa 90 baada ya mkongwe wa mziki wa Rhumba Marehemu Pepe Kalle kumtungia wimbo wa kumsifia.

Marehemu ameacha watoto watatu wa kiume.

Pia soma
Hidaya.JPG

Hidaya enzi za uhai wake

Mama mrembo, aliyekuwa mke wa mwanamuziki Pepe kale amefariki leo nyumbani kwake jijini Arusha.

Marehemu ameacha watoto watatu wa kiume, wawili wanaishi Congo kwa baba yao.
Baada ya kifo cha pepe kale hidaya alirudi nyumbani kwao Arusha ambapo alikuwa akiishi hadi umauti ulipomkuta..

Msiba upo nyumbani kwake kaloleni
Huyu anakufa kila mwaka au?
 
Bushmamy bandika ka picha ka Hidaya Basi tumuone alivyo fanana na Cute emmie
 
Mwanamama maarufu na mrembo Hidaya Khamis Mtumwa almaarufu Hidaya wa Pepe Kalle amefariki Dunia leo asubuhi jijini Arusha, msiba upo nyumbani kwake Kaloleni.

Hidaya alitamba miaka ya mwanzoni mwa 90 baada ya mkongwe wa mziki wa Rhumba Marehemu Pepe Kalle kumtungia wimbo wakumsifia.

Pia soma

JamiiForums1789894343.jpg

Pichani Marehemu Hidaya aliyejifunga kitambaa kichwani enzi za uhai wake, akiwa na binti yake Leila ambaye nae ni Marehemu
 
Back
Top Bottom