Hichi ni nini tunachokifanya dhidi ya Tanzania

Emar

JF-Expert Member
Nov 15, 2018
1,789
2,903
Habari ,

Kwanza kabisa naomba nisikitike kidogo kwa yanayoendelea, pili nisikitikie watoto na kinamama na baadhi ya makundi maalumu.

Katika harakati hapa na hapa nilishawai tembelea nchi zilizokumbwa na machafuko ya kisiasa na vita nikajionea hili linanifanya nisikitike tena. Vifo, njaa, Magonjwa, n.k vyote vinawandama

Pili naomba niisikitikie Nchi yetu pendwa yenye amani baina ya mtu na mtu, utani wa jadi kwenda kuwa kuna uadui baina ya mtu na mtu. Kwa mtazamo wa siku za usoni.

Naomba nitoe yangu ya moyoni
Baada ya yanayoendelea kuiandama Nchi yetu kuhusu ban of Visa permit na ishu ya Konda boy (DAB) pia Kupunguzwa kwa misaada ya Sweden,

Kuna vitu nimegundua Watanzania wengi hatuithamini Amani yetu wengi tunaitamani iyeyuke kidogo ili either kumkomoa mtu, watu au chama . Bila kuelewa Hii Nchi ni yetu sote siyo ya chama au mtu.

Dhahabu tuliyonayo ya miaka 60 free bila vita bila kumwaga damu , njaa , Magonjwa.
tunaiyona si kitu.

Wakati kuna watu wanaitafuta kwa machozi na hawaipati wengine wanaswali na kusali . Sijui kama tunakumbukumbu ya mabomu ya Mbagala.

Kila mtu ajiulize je yupo tayari kuvumilia hali ile licha ya tofauti za kimtazamo wa kisiasa je tupo tayari,
Naweza sema wengi either walikuwa wapo nje ya Dar au nje ya nchi ila shortly hali ilikuwa mbaya

-Hebu tujiulize utegemezi tulionao mzazi, mke, mtoto/watoto na baadhi ya wanaotutegemea je upo tayari kuwapoteza
-Jiulize wewe je upo tayari kujitolea maisha kwa ajir ya wengine , wenzetu Waraabu kujisucrifice it's normal things but how about us?
- Mali ulizonazo up tayari kuzipoteza pale kikinuka coz haitaangalia hapa ni wapi au wapi?

- up tayari kuwa mkimbizi uache nchi yako ukimbie , uache watoto, mifugo , mali na n.k

Haya sana nirudi kwenye Mada nasikitishwa na kundi kubwa la Watanzania wengine ninao waheshimu , wengine ninao amini wasomi,wanabusara na kuchukua nafasi kuomba ushahuri kwao, na wengine watanzania wa kawaida Kushadadia/kupondea/kuzilia/kuchongea/kuunga mkono Hali ya sasa ya Nchi za Magharibi kutuandama.

Kitu tusichokijua kila nchi unayoiyona kwanzia Iraq, Iran, Congo, Nigeria n.k hali ilianza hivi na uchochezi ulianza kwa mtu mmoja na tu either kwa ajiri ya maslai binafsi au chama ila leo Maelfu ya Vifo, wakimbizi, njaa, n.k

Ni kweli Watanzania tunashadadia tusichokijua hatujui kuwa tunajipalia makaa ya mawe, jinsi tunavyoshadadia tunamezesha sumu kizazi cha jamii ya vijana wadogo na waliokosa ajira kuanza kutengeneza magenge ya kigaidi kwa kuona Serikali imewaonea , ? Na ndo mwanzo wa Al shababu, Al qaida, N.k
Je tupo tayari?

Hata nchi Nyingine wanatucheka kwa kukosa umoja .
Kama kweli tuna uchungu why maandamano ya Mange kimambi hatukutokea tunahisi wangetuua wote? Sasa kama ni waoga why tutoe mlango ambao kuufungua ni rahisi ila kuufunga ni ngumu.
Honestly mm kuna watu nimewashusha vyeo humu jf. Badal ya kushadia

Nilifikiri mijadala itakayo anzishwa ni mijadala ya why tunafanyaje about our country? Hata kama tuna serikali mbovu no matter?

This is our country hatuna pengine, pengine tutaitwa wakimbizi na sometimes sera zikibadilika tunaweza rudishwa.
- Baada ya kuwa kwenye Group la wanageria nimeshangaa kuona wao wameungana kuoneshwa kuonewa hata kama wanamakosa ila wao wameungana wenyewe , ni ishara ya kuipenda nchi yao.

Hata kama kuna mapungufu ila wanajua hapo ndo kwao. Pakiaribika hawana pengine. Hata kama kuna shirika au Nchi kubwa kama Russia , Germany n.k inaweza jua sasa how to help them.

Sasa sisi tumegawanywa na tumegawanyika siyo profesa, dokta, na hata yule asiye soma. Wote tunawaza hapo badala ya kule.

Tunahisi tunapendwa tunahisi tunathaminiwa , tunahisi tunalindw sasa kama kweli tuna pendwa why wasiifungulie mashtaka Serikali katika mahakama ya kimataifa wakatupa ban wote. Sasa wengine tunekosea nin? Unagundua tunachonganishwa ili tuone Serikali yetu inatuonea tureact againist them.

Very technical ya kijasusi imetumika. Mimi sizani kama Visa hiyo ni muhimu kivile!
Wengine hawajui hata inapopatikana na inavyoombwa ila wanashadadia.

NIMALIZE KWA KUTOA RAI
Pamoja na kuwa na Mapungufu Ya Serikali yetu, Na viongozi wake hat baadhi yetu hebu tuungane (kuna msemo unasema umoja ni nguvu).

Serikali na wananchi tusigawanywe , tukikubali kugawanywa tunaenda kujipoteza na vizazi vyetu.
Tukihisi wao wanatupenda kuliko tunavyo jipenda bila kutazama je walishawai kusaidia wapi wakabaki salama?

Tunavyogawanyika wanapata nguvu
Unaweza sikia kuna kikundi cha kigaidi kimeibuka kuipinga serikali, najua kuna watu watabisha ila hata yanayowakuta Congo yalianza hivi. ...

Fikiri chukua hatua/ Maisha yako na amani yako ukiwa kwako ni muhimu mno na niwewe wa kuipambania not anyone else.

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu uwe mkweli hapo ulipo huna "amani" au unatishiwa maisha yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
hujanijibu swali langu.

JIBU: sina amani ya kujieleza, sina amani ya kuikosoa serikali(kuielekeza), sina amani ya kufika dodoma(mf. Tundu lisu kapigwa risasi mchane kweupe makao makuu na wahusika hawajulikani) sasa mimi ni nani?
niwe na "amani" wakati wenye pesa, madaraka hawana amani!

nijibu swali langu nililokuuliza post no #2
 
It's okay sisi wenyewe tuipinge serikali ,
Tunaweza tukiamua bila kumshirikisha m2.
Hakuna ugomvi wa Baba na mtoto unasoviwa na jirani
hujanijibu swali langu.

JIBU: sina amani ya kujieleza, sina amani ya kuikosoa serikali(kuielekeza), sina amani ya kufika dodoma(mf. Tundu lisu kapigwa risasi mchane kweupe makao makuu na wahusika hawajulikani) sasa mimi ni nani?
niwe na "amani" wakati wenye pesa, madaraka hawana amani!

nijibu swali langu nililokuuliza post no #2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wana akili duni kweli.
Mleta uzi amewahi kuvaa uhusika wa wahanga hawa;
Azory
Ben saa8
Tundu Lisu
Mawazo nk?
Je mapito ya wapinzani anayajua?
Angekuwa muungwana kwa kuanza kualaani matendo haya na watendaji wake
Emar
maudhui ya thread yako yanazungumzia 'amani'.

Swali:
hivi kitendo cha kunyima watu haki ya kuishi ni uvunjifu wa amani au ni siyo uvunjifu wa amani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona hujaizungumzia serikali kabisa,lawama moja kwa moja umeelekeza kwa wananchi!
Sasa tuanzie kwenye tatizo,unaishauri nini serikali yako,kumbuka amani ni zao la haki!
 
Watz atuchukiani hatuna tabia hizo amani yetu kila mtu anajua hawa wakimbizi ndio wametumwa kuivuruga kupitia chama chakavu
 
Kwahiyo mleta uzi unataka kusemaje, tusahau upupu wote wa DAB na mwenzie Jiwe???
 
Emar
maudhui ya thread yako yanazungumzia 'amani'.

Swali:
hivi kitendo cha kunyima watu haki ya kuishi ni uvunjifu wa amani au ni siyo uvunjifu wa amani?
Vita vya wanasiasa usiviingize na Aman ya nch sio kisa chadema wanabanwa ndio mtake kuangamiza raia Zaid ya m10 kwa jili ya matumbo ya wanasiasa wachache hata ingekua chadema ndio imeshika nchi lazima upinzani ungelalamika kwani hawapiganii maslah yetu wanapigania matumbo yao hata ndan ya chadema tu wanamshinda wanapigana vijembe uyo Zito mwenyewe alitimuliwa chadema mbona hamkuomba mnyimwe ruzuku na serekal hakufanya ivyo kisa mnajijal so mimi binafs sijanyimwa haki ya kuish na watanzania wengine pia wanaish kwa Aman ila wale majamaa wanao taka kula kupitia siasa ndio wananyimana kuish io ni vita yenu msitushirikishe hata sisi tunarogana mitaani ili tu vismat viamie kwetu kwaio na nyie uko pambaneni kivyenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza kila kitu ila misukule ya wanasiasa humu itajifanya haielewi kitu...
Vita vya wanasiasa usiviingize na Aman ya nch sio kisa chadema wanabanwa ndio mtake kuangamiza raia Zaid ya m10 kwa jili ya matumbo ya wanasiasa wachache hata ingekua chadema ndio imeshika nchi lazima upinzani ungelalamika kwani hawapiganii maslah yetu wanapigania matumbo yao hata ndan ya chadema tu wanamshinda wanapigana vijembe uyo Zito mwenyewe alitimuliwa chadema mbona hamkuomba mnyimwe ruzuku na serekal hakufanya ivyo kisa mnajijal so mimi binafs sijanyimwa haki ya kuish na watanzania wengine pia wanaish kwa Aman ila wale majamaa wanao taka kula kupitia siasa ndio wananyimana kuish io ni vita yenu msitushirikishe hata sisi tunarogana mitaani ili tu vismat viamie kwetu kwaio na nyie uko pambaneni kivyenu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ,

Kwanza kabisa naomba nisikitike kidogo kwa yanayoendelea, pili nisikitikie watoto na kinamama na baadhi ya makundi maalumu.

Katika harakati hapa na hapa nilishawai tembelea nchi zilizokumbwa na machafuko ya kisiasa na vita nikajionea hili linanifanya nisikitike tena. Vifo, njaa, Magonjwa, n.k vyote vinawandama

Pili naomba niisikitikie Nchi yetu pendwa yenye amani baina ya mtu na mtu, utani wa jadi kwenda kuwa kuna uadui baina ya mtu na mtu. Kwa mtazamo wa siku za usoni.

Naomba nitoe yangu ya moyoni
Baada ya yanayoendelea kuiandama Nchi yetu kuhusu ban of Visa permit na ishu ya Konda boy (DAB) pia Kupunguzwa kwa misaada ya Sweden,

Kuna vitu nimegundua Watanzania wengi hatuithamini Amani yetu wengi tunaitamani iyeyuke kidogo ili either kumkomoa mtu, watu au chama . Bila kuelewa Hii Nchi ni yetu sote siyo ya chama au mtu.

Dhahabu tuliyonayo ya miaka 60 free bila vita bila kumwaga damu , njaa , Magonjwa.
tunaiyona si kitu.

Wakati kuna watu wanaitafuta kwa machozi na hawaipati wengine wanaswali na kusali . Sijui kama tunakumbukumbu ya mabomu ya Mbagala.

Kila mtu ajiulize je yupo tayari kuvumilia hali ile licha ya tofauti za kimtazamo wa kisiasa je tupo tayari,
Naweza sema wengi either walikuwa wapo nje ya Dar au nje ya nchi ila shortly hali ilikuwa mbaya

-Hebu tujiulize utegemezi tulionao mzazi, mke, mtoto/watoto na baadhi ya wanaotutegemea je upo tayari kuwapoteza
-Jiulize wewe je upo tayari kujitolea maisha kwa ajir ya wengine , wenzetu Waraabu kujisucrifice it's normal things but how about us?
- Mali ulizonazo up tayari kuzipoteza pale kikinuka coz haitaangalia hapa ni wapi au wapi?

- up tayari kuwa mkimbizi uache nchi yako ukimbie , uache watoto, mifugo , mali na n.k

Haya sana nirudi kwenye Mada nasikitishwa na kundi kubwa la Watanzania wengine ninao waheshimu , wengine ninao amini wasomi,wanabusara na kuchukua nafasi kuomba ushahuri kwao, na wengine watanzania wa kawaida Kushadadia/kupondea/kuzilia/kuchongea/kuunga mkono Hali ya sasa ya Nchi za Magharibi kutuandama.

Kitu tusichokijua kila nchi unayoiyona kwanzia Iraq, Iran, Congo, Nigeria n.k hali ilianza hivi na uchochezi ulianza kwa mtu mmoja na tu either kwa ajiri ya maslai binafsi au chama ila leo Maelfu ya Vifo, wakimbizi, njaa, n.k

Ni kweli Watanzania tunashadadia tusichokijua hatujui kuwa tunajipalia makaa ya mawe, jinsi tunavyoshadadia tunamezesha sumu kizazi cha jamii ya vijana wadogo na waliokosa ajira kuanza kutengeneza magenge ya kigaidi kwa kuona Serikali imewaonea , ? Na ndo mwanzo wa Al shababu, Al qaida, N.k
Je tupo tayari?

Hata nchi Nyingine wanatucheka kwa kukosa umoja .
Kama kweli tuna uchungu why maandamano ya Mange kimambi hatukutokea tunahisi wangetuua wote? Sasa kama ni waoga why tutoe mlango ambao kuufungua ni rahisi ila kuufunga ni ngumu.
Honestly mm kuna watu nimewashusha vyeo humu jf. Badal ya kushadia

Nilifikiri mijadala itakayo anzishwa ni mijadala ya why tunafanyaje about our country? Hata kama tuna serikali mbovu no matter?

This is our country hatuna pengine, pengine tutaitwa wakimbizi na sometimes sera zikibadilika tunaweza rudishwa.
- Baada ya kuwa kwenye Group la wanageria nimeshangaa kuona wao wameungana kuoneshwa kuonewa hata kama wanamakosa ila wao wameungana wenyewe , ni ishara ya kuipenda nchi yao.

Hata kama kuna mapungufu ila wanajua hapo ndo kwao. Pakiaribika hawana pengine. Hata kama kuna shirika au Nchi kubwa kama Russia , Germany n.k inaweza jua sasa how to help them.

Sasa sisi tumegawanywa na tumegawanyika siyo profesa, dokta, na hata yule asiye soma. Wote tunawaza hapo badala ya kule.

Tunahisi tunapendwa tunahisi tunathaminiwa , tunahisi tunalindw sasa kama kweli tuna pendwa why wasiifungulie mashtaka Serikali katika mahakama ya kimataifa wakatupa ban wote. Sasa wengine tunekosea nin? Unagundua tunachonganishwa ili tuone Serikali yetu inatuonea tureact againist them.

Very technical ya kijasusi imetumika. Mimi sizani kama Visa hiyo ni muhimu kivile!
Wengine hawajui hata inapopatikana na inavyoombwa ila wanashadadia.

NIMALIZE KWA KUTOA RAI
Pamoja na kuwa na Mapungufu Ya Serikali yetu, Na viongozi wake hat baadhi yetu hebu tuungane (kuna msemo unasema umoja ni nguvu).

Serikali na wananchi tusigawanywe , tukikubali kugawanywa tunaenda kujipoteza na vizazi vyetu.
Tukihisi wao wanatupenda kuliko tunavyo jipenda bila kutazama je walishawai kusaidia wapi wakabaki salama?

Tunavyogawanyika wanapata nguvu
Unaweza sikia kuna kikundi cha kigaidi kimeibuka kuipinga serikali, najua kuna watu watabisha ila hata yanayowakuta Congo yalianza hivi. ...

Fikiri chukua hatua/ Maisha yako na amani yako ukiwa kwako ni muhimu mno na niwewe wa kuipambania not anyone else.

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app

Hatuwezi kaa hapa kama nchi nzima tunaficha incompetence ya lijitu limoja tuliloliajiri

For what?

Mwaka huu 2020 tunaajiri mwingine!
 
Back
Top Bottom