KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,067
Wakuu sina nia mbaya na chama chetu cha CHADEMA.
Nimejaribu kufikiri kwamba,kuna kura zaidi ya 75000, ambazo huenda tungezipoteza hata kama uhesabuji ungekua fair.
1.Dr (Phd) aliahidi kufuta baadhi ya vyeo serikalini kitu ambacho kimetishia maisha ya (ndugu)dependants na waajiriwa wa hao maafisa ambao wangefutwa kazi.
(Huenda Dr angeweza kuwapa vitengo vingine,,lakini kwa watu kama mashamba boy,beki tatu, nk ingekua nguma kuelewa, hivyo kuipingia kura CCM)
Mfano mkuu wa wilaya anaweza akawa na watu zaidi ya 60 aliyewawezesha kupata ajira, hawa pia wana familia, na familia zao pia zinafamilia,,chain ni kubwa sana.(Usisahau wanaweza pia kushawishi -ve watu wengine kuhusu CHADEMA)
Nina mfano mmoja hapa ofisini kuna mshikaji hajampigia kura Dr kwasababu mjomba wake angepoteza ukuu wa wilaya.
2. Wamiliki wengi wa shule binafsi walichukizwa na Dr kudai atatoa huduma bure na bora. Hivyo wao wangekosa ulaji.
Hembu fikiria mmiliki kama Mama Lwakatare alikua anaichukuliaje hii. What if alishawishi wafanyakazi wake the impact ya kumchagua Slaa kwa sera hii? (kumbuka hao wafanyakazi wanafamilia na wanaushawishi kwa dependants wao)
3. Walimu wengi ambao huenda wangempigia Dr,walikosa fursa hiyo,kutokana na kupangiwa vituo tofauti kusimamia uchaguzi.
Nini kifanyike 2015?
Tafakari,Tuchukue hatua.