Mkuu ni kweli dini hairuhusu hayo mambo uloyataja lakini hukumu yake mtu anayefanya hayo sio eti akatwe shingo.kuna baadhi ya hukmu zimewekwa kwamba mtu akifanya jambo fulani katika uislamu basi hukmu ni kifo,na sio tu kila kosa analofanya ati auwawe laaa.Sudan Wengi ni Sufi.
Mtoto mashallahView attachment 1020447
Jamani daaah!!!..yaani kuanzia juu mpaka chini sioni Kasoro Sudan ni kiboko.
Wa Sudan wengi wakifahamu umetokea Tanzania wana kuheshimu SanaTrue mimi ni mpinzani mkubwa wa Msimamo mkali katika dini yoyote!...tusizifanye Dini kuwa ni jela.ENJOY LIFE...mimi kuna nchi nimepanga nizitembelee hata kama mauti nafsi yangu iburudike.
Mwaka 2007 nilikanyaga ardhi Ethiopia, Egypt, Sudan huko Kuna Mambo mazuri ukiwa na pesa ya kufanya biashara utaishi Kama mfalme Sudan na Ethiopia TUTrue mimi ni mpinzani mkubwa wa Msimamo mkali katika dini yoyote!...tusizifanye Dini kuwa ni jela.ENJOY LIFE...mimi kuna nchi nimepanga nizitembelee hata kama mauti nafsi yangu iburudike.
Asante nimekupataNi dhehebu la kiislamu ambalo linaruhusu kuimba na kumsifu mungu kupitia ala mbalimbali.
... hapa Tz misikiti yao iko wapi nikawatembelee fasta.Ni dhehebu la kiislamu ambalo linaruhusu kuimba na kumsifu mungu kupitia ala mbalimbali.
Kitu kinginne hicho cha kusuuza Roho.
Yaani Upo SahihiWao pia wanasikia sisi tunvyoua albino wanashangaa!!..na humo njombe.
Nimeipata point yako!Mkuu wanubi ndio asilia angalia vizuri hiyo Video wanatumia hakuna Solo wala nini ni Ala za Kiafrika asilia
Hawawafikii wa oromo wa Ethiopia.
Uongo mbaya Mwili umesisimuka iko siku nitatembelea huko
Frankly speaking nimekerwa na miguo ya kijani (nina mzio nayo)
Kila nikitazama video hii najikuta nazidi kuipenda na kuikubali "Ndombolo"
Namkumbuka "bilii" wa kanda bongoman!
Na wale wacheza shoo wa koffi Olomide!
Nijitoe ufahamu kuwasapoti Wanubi!!!!!!
Safiri huko kuko vizuri ila wa Sudan na Ethiopia wengi ni masikini wakutupwaMimi nitafanya safari ya kwenda kutalii haswa kujua mila na Desturi ikibidi na kujua mengi zaidi.
Mkuu Hilo jimbo la washindia viwavi liko chini ya nani?hahahSisi dits ni maskini wa kutupwa leo hii tanzania watu wanashindia viwavi jeshi.