Hiba ya wivu.....mtunzi ni nani?

payuka

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
829
127
Nakumbuka kitabu chenye hiyo title kilikuwa na simulizi ya kuvutia kuhusu mapenzi.
Wahusika wakuu wakiwa ni Faridah, Ihucha, Uncle Musa n.k. Eneo lililotajwa mara nyingi lilikuwa ni Mwenge kama sijakosea.
Hiki kitabu kinapatikana wapi jamani?
 
Utanzania unawasumbua.....hii inadhihirisha hamsomi vitabu, lakini viherehere wa kuchangia kila thread.
Kwekwekwe! Tih tih tih...taratibu kaka/ dada unajua maana ya viherehere wewe?...wewe uliyesoma sana vitabu yakushindani kujua jina la mtunzi? Wanchekesha yakhe!
 
Kitabu hicho kiliandikwa na Marehemu Hammie Rajab. Jaribu kukitafuta pale TPH Mtaa wa Samora karibu na Salamander ingawa sina hakika kama hilo duka na kampuni yenyewe kama bado ipo au.
 
kama sikosei Hiba ya wivu kimetungwa na Zainab Mwanga ila sehemu ya kukipata ndio sijui.

You are right mkuu, niliwamislead wadau kusema ni Hamie Rajab lakini pa kukipata ni TPH au bookshop zenye vitabu vya sekondari maana vinatumika Sekondari.
 
Kitabu hicho kiliandikwa na Marehemu Hammie Rajab. Jaribu kukitafuta pale TPH Mtaa wa Samora karibu na Salamander ingawa sina hakika kama hilo duka na kampuni yenyewe kama bado ipo au.

kimeandikwa na Zainab Mwanga na sio Hammie Rajab. Nadhani unaweza kuvipata kwenye bookshops.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom