Hi washikaji leo sina usingizi aliyeko on line aje tukeshe...........!

Haya sema babu yangu
hebu nipe stori za enzi zako ukivizia mashori, ulikuwa unapigwa kalenda kwa miezi mingapi vile?

kwanza jieleze wewe ni demu au shoro? Ila kalenda nimepigwa sana enzi zile namfukuzia bibi yako, kama miezi sita hivi ndo nikasikiwa .sio nyie dakika moja tu unasaula jezi.
 
kwanza jieleze wewe ni demu au shoro? Ila kalenda nimepigwa sana enzi zile namfukuzia bibi yako, kama miezi sita hivi ndo nikasikiwa .sio nyie dakika moja tu unasaula jezi.
Mie ni mdada wa 25,
zamani mlikuwa longo longo, lakini siku hizi keshi ndio mpango mzima kama mtu anazo kwa nini ulaze damu wakati maisha yenyewe ni mafupi

hebu piga demu sound kama utapata kitu, utasota!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom