Jeska
Senior Member
- Jan 15, 2013
- 116
- 149
Kichwa cha habari kinahusika Paloma, Kaizer, Arushaone, Preta, Lisa, Nivea, figganigga,@FP, Kipaji Halisi, Ruttashobolwa, Madame B mnakaribishwa..
Last edited by a moderator:
Haya sema babu yangu
hebu nipe stori za enzi zako ukivizia mashori, ulikuwa unapigwa kalenda kwa miezi mingapi vile?
kaka mkubwa uko wapi tena?
Mie ni mdada wa 25,kwanza jieleze wewe ni demu au shoro? Ila kalenda nimepigwa sana enzi zile namfukuzia bibi yako, kama miezi sita hivi ndo nikasikiwa .sio nyie dakika moja tu unasaula jezi.