Hi Safi sana(Baa yatangaza promosheni ya Lugha Chafu)

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
Baa moja mjini Hispania imetangaza promosheni kwa wateja wake ambao sasa wanaweza kuwatolea lugha chafu wahudumu wa baa hiyo na kisha kupata bia za ziada.

Promosheni hiyo inalenga kuwapunguzia msongo wa mawazo wateja wake hasa wakati huu wa mtikisiko wa uchumi duniani.

Mmiliki wa baa hiyo,Bernard Mariuz, amesema wateja wake wanahitaji kupuinguza mawazo kwa kutoa maneno machafu.

I wish hata hii ikianzishwa hapa Tanzania kwa kupunguza msongo wa mawazo ya PAYE ambay tumekuwa tukiumia kila mwaka bila kupata mtu wa kutusemea bungeni.

wakuu hapo vipi???
 
Ha!ha!ha!ha!ha!......duh aisee hii kitu si waianzishe na hapa kwetu aisee.....tena kaka hii kitu ianzie kule kny viwanja vyetu....''kanda ya kati''...guess mi nafikiri ngekuwa wa kwanza kufaidika hii...tehe!tehe!tehehe
 
Back
Top Bottom