Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hi picha ina picha ngapi zilizokuwemo ndani yake? jaribu kuchunguza kisha nipe jibu

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jan 27, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,751
  Likes Received: 3,102
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,751
  Likes Received: 3,102
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Na ingine pia hii picha ina wanyama hawa wangapi?
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,133
  Likes Received: 2,368
  Trophy Points: 280
  Illuminati.........
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,751
  Likes Received: 3,102
  Trophy Points: 280
  • [​IMG]
   
 5. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 28,405
  Likes Received: 3,572
  Trophy Points: 280
  ..............sio picha..............
   
 6. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 498
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Farasi 13 wadogo pamoja na huyo mkubwa ni 14
   
 7. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,733
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  illusion confusion
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,751
  Likes Received: 3,102
  Trophy Points: 280
  Kama sio picha kitu gani?
   
 9. Possibles

  Possibles JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 1,231
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 180
  Tunatishana tu hapa.Ujini mtupu
   
 10. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Picha ni moja tu hapo, acha kutuchanganya na hayo majini yako.....
   
 11. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,751
  Likes Received: 3,102
  Trophy Points: 280
  Hamuoni tatizo

  Kuna picha nyingindani yake sio moja.
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,515
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nyingi sanaaaaaaaaaaaaaaa
   
 13. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,751
  Likes Received: 3,102
  Trophy Points: 280
  Uwingi wake hazihisabiki Mkuu?
   
 14. Mimtamu

  Mimtamu JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Umeweka picha moja mkuu usitufanye wehu hapa. Halafu umepekua wapi ukayapata haya madude?
   
 15. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,751
  Likes Received: 3,102
  Trophy Points: 280
  Unayo macho lakini Mkuu picha nilizoweka hapo juu ni moja tu? hebu angalia vizuri kila picha niliyoweka kuna picha ndani yake ni nyingi tu hebu angalia vizuri umevaa miwani ya jua mkuu?
   
 16. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,049
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Nimemuona JK akiomba msaada kwa Cameroon!
   
 17. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,751
  Likes Received: 3,102
  Trophy Points: 280
  Lakini umekosea kujibu Swali langu hakuna hapa Mzee JK akiomba Msaada kwa Cameroon mbona upo nje ya Mada ya Picha yangu? Mkuu una chuki na Mkuu JK nini? Tafadhali usiharibu Thread yangu utakula BAN PleaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaSe
   
 18. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,481
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  Juu ya kichwa kuna kondoo, pembeni kuna msalaba, kuna fuvu la kichwa n.k n.k.
   
 19. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #19
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,800
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  kuna mjusi begani na mnyama upande wa kushoto
   
 20. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #20
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,751
  Likes Received: 3,102
  Trophy Points: 280
  Mbona bado hujazimaliza picha zangu kuzitaja umezitaja nusu yake tu hizo picha?
   
Loading...