Hi ni Kwa Marafiki Wote

HOPECOMFORT

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
3,908
6,576
Wengi Wamekukuta Njiani Hawajui Ulikotoka na Wala Hawajui Njia Uliyopitia Hadi Ukafika Hapo.Lkn Wamejivika Umahiri Wa Kukuchambua na Wamegeuka Watabiri Wa Maisha Yako. Usitumie Muda Mwingi Kuwafikiria kwani Safari Ni Yako na ni Ndefu Sana. Achana Na Wapita Njia Elekeza Nguvu Zako Ktk Ndoto Zako na Safari Yako.Mlinzi na kiongozi wako ni Mungu,Wengine watabaki Kua Mashaidi tu.

Hi ni kwa wote walio kutana vikwazo vya marafiki, majirani na watu wengine walio wazunguka. Unaweza kua mkarimu kwa mwenzako ukamtendea mema mengi lakini malipo yake yakawa usaliti- Kwa upande wangu marafiki ndo sababu.
 
hasa ndugu wanaweza kukukatisha tamaa sana hasa kama kwenu wewe ndio uliotoka kimaisha aisee kazi sana.
 
I THINK I NEED SOME NEW HATERS CAUSE MOST OF MY OLD HATERS HAVE STARTED TO LIKE ME NOW!!!!!!!!!!!! Anhaaaaaaaaaa! Seriously!

Hi imenitokea mara nyingi sana haswa mahala pangu pa kazi. Jitu linazuka uko mara limekununia gafla!! Ukisema Uuchune naww Mara linaanza tena kujichelesha!! Mi sioni maana ya adui kurudi tena kua rafiki na hata wakiongezeka wengine mradi sina kosa- Shauiri yao.
 
Maadaui ukufanya ujitume zaidi lkn kusema uwapende!! Sidhani- Labda kwa misemo tu

Haters walinifanya nisome zaidi ili niwachome....I was enjoying the game ya ushindani but looking back somehow they helped me to be who I am today. We're now good friends cause they lost the game. That's why I say I love 'em....we acha tu!
 
Kweli Kabisa
Wakwetu jioni njema... UbinaAdamu wetu huwaga na vigeugeu yaani ukiichekea duniya itakuchekea!! sasa njoo kwa walimwengu ukwachekea wanakununuia ukistuka wanaanza kujileta kama mzombee !! wangine wanasema " tenda mema ulipwe shari" just forget!!
 
asante sana kwa ujumbe mzuri na wenye kufundisha na hata kama una vikwazo pia una fariji ubarikiwe sana kila la kheri.
 
Haters walinifanya nisome zaidi ili niwachome....I was enjoying the game ya ushindani but looking back somehow they helped me to be who I am today. We're now good friends cause they lost the game. That's why I say I love 'em....we acha tu!

Kuna aliona nimemzidi kwa hili !! Duh imempa shida sanla mpaka amejikuta akinifumbia eti yeye kazidiwa kielimu hata kuvaa pia? Eti na hao waloenda shule mbona hata kuvaa hawajui. Ubinadamu mgumu
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom