Hi ndo idadi kamili ya waliokufa kwa AJALI YA MELI kwa Majimbo

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Kwa mujibu wa Majimbo yao taarifa zilizopatikana ni kama ifuatavyo.
Jimbo la kojani-108
Jimbo la Ole-157
Jimbo la micheweni-88
Jimbo la Mgogoni-184
Jimbo la wete-149
Jimbo la Gando-418
Jimbo la mtambwe-214
Jimbo la konde-96
Jimbo la Ziwani-182
Jumla ya maiti ni 1596
Maiti zilizopatikana na kuzikwa ni 197
Waliokolewa wakiwa hai ni 619
Jumla ya abiria wote ni 2412
Source.majimboni.
 
kama meli ilisheheni kuliko uwezo wake kila mfiwa alliyekuwa na uhakika kwamba nduguye kapanda hilo jimeli ndo mwenye takwimu sahihi achilia mbali wale ambao huwa hawana mawasilianmo nan ndugu na rafiki zao nao wamo!!!
 
Hizo bado zitakuwa sio takwimu sahihi za jumla,kwani kuna wafanyabiashara wengi tu wa bara ambao hawajulikani katika hayo majimbo walikuwa ndani ya hicho chombo.
 
Hizo bado zitakuwa sio takwimu sahihi za jumla,kwani kuna wafanyabiashara wengi tu wa bara ambao hawajulikani katika hayo majimbo walikuwa ndani ya hicho chombo.
Usemalo ni kweli,wakijitokeza na bara tutakuwa na idadi kamili.
Hayo ni ya zenji tu.na ni taarifa za majimbo
 
inasikitisha sana. michango imepokelewa mingi sana na makamu wa rais imefikia walengwa? walikuja zanzibar wakatoa risala na hotuba,wahsaondoka wako nje ya nchi na kusahau washasahau hizo hotuba zimesaidia nn kama hakuna alowajibishwa na marais hadi leo? waloenda mahakamani siasa tu.Tanzania ni zaidi ya uijuavyo.
 
Hivi jamani naomba kuuliza Vasco da Gama alienda hadi Pemba kweli?au aliishia Unguja maana alikuwa anawaza safari ya Marekani
 
tunahangaika bure... matanga yalishaanuliwa na hata hii habari atawanywe vipi hutaona government official yuko bize nayo

we are good at forgetting things..........
 
Huku Bara imepewa kisogo,lakn huko pemba ishu bdo moto,
Kuna familia zingine kama wamechanganykwa si kwa kupenda bali kwa mapenzi na kumbukumbu za ndugu zao,mtu anaptez ndugu 16,asahau kwa mwez mmoja.
Si bure TANZANIA kuna jambo linaendlea kwenye ulimwengu mwngne.
 
Back
Top Bottom