Hi ndo idadi kamili ya waliokufa kwa AJALI YA MELI kwa Majimbo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hi ndo idadi kamili ya waliokufa kwa AJALI YA MELI kwa Majimbo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zubedayo_mchuzi, Sep 21, 2011.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Kwa mujibu wa Majimbo yao taarifa zilizopatikana ni kama ifuatavyo.
  Jimbo la kojani-108
  Jimbo la Ole-157
  Jimbo la micheweni-88
  Jimbo la Mgogoni-184
  Jimbo la wete-149
  Jimbo la Gando-418
  Jimbo la mtambwe-214
  Jimbo la konde-96
  Jimbo la Ziwani-182
  Jumla ya maiti ni 1596
  Maiti zilizopatikana na kuzikwa ni 197
  Waliokolewa wakiwa hai ni 619
  Jumla ya abiria wote ni 2412
  Source.majimboni.
   
 2. BabuK

  BabuK JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2011
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 1,847
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  kama meli ilisheheni kuliko uwezo wake kila mfiwa alliyekuwa na uhakika kwamba nduguye kapanda hilo jimeli ndo mwenye takwimu sahihi achilia mbali wale ambao huwa hawana mawasilianmo nan ndugu na rafiki zao nao wamo!!!
   
 3. The last don

  The last don JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  Hizo bado zitakuwa sio takwimu sahihi za jumla,kwani kuna wafanyabiashara wengi tu wa bara ambao hawajulikani katika hayo majimbo walikuwa ndani ya hicho chombo.
   
 4. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Usemalo ni kweli,wakijitokeza na bara tutakuwa na idadi kamili.
  Hayo ni ya zenji tu.na ni taarifa za majimbo
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Au ni mkakati wa kuwapunguza wapemba?
   
 6. lukenza

  lukenza Senior Member

  #6
  Sep 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  pia kumbuka kulikuwa na raia wa nchi nyingine
   
 7. K

  Kima mdogo JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2011
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  takwimu hii bado haijatimia naamini ni zaid ya 3000
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  lisemwalo lipo na kama halipo ujue laja..
   
 9. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  inasikitisha sana. michango imepokelewa mingi sana na makamu wa rais imefikia walengwa? walikuja zanzibar wakatoa risala na hotuba,wahsaondoka wako nje ya nchi na kusahau washasahau hizo hotuba zimesaidia nn kama hakuna alowajibishwa na marais hadi leo? waloenda mahakamani siasa tu.Tanzania ni zaidi ya uijuavyo.
   
 10. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #10
  Sep 21, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Mungu mkubwa!
   
 11. Clarity

  Clarity JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2011
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 811
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 80
  Hivi jamani naomba kuuliza Vasco da Gama alienda hadi Pemba kweli?au aliishia Unguja maana alikuwa anawaza safari ya Marekani
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  tunahangaika bure... matanga yalishaanuliwa na hata hii habari atawanywe vipi hutaona government official yuko bize nayo

  we are good at forgetting things..........
   
 13. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #13
  Sep 22, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  serikali ilishaipa kisogo hii ishu na kuonesha ni jinsi gani amabvo tumelekezwa
   
 14. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #14
  Sep 22, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Huku Bara imepewa kisogo,lakn huko pemba ishu bdo moto,
  Kuna familia zingine kama wamechanganykwa si kwa kupenda bali kwa mapenzi na kumbukumbu za ndugu zao,mtu anaptez ndugu 16,asahau kwa mwez mmoja.
  Si bure TANZANIA kuna jambo linaendlea kwenye ulimwengu mwngne.
   
Loading...