Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,554
Hongera uchambuzi mzuri, sema tatizo watanzania ni mazuzu! wakipewa sh10,000 na kuambiwa CCM oye basi mpaka gego la mwisho utaliona, na baada ya hapo huyo huyo mtanzania anaanza kulalamika eti serikali haitujali, eti mara ufisadi! Safari ni ndefu, Tanzania bado wajinga ni wengi!!!
Bora 10,000/= wengine wanapewa pakti ya chumvi na kugeuzwa mabango kwa kuvishwa Tshirt na kofia za CCM.