Hi ndiyo ilikuwa tofauti kubwa aliyoigundua Nyerere kati ya Mkapa na Kikwete mwaka 1995

****** ndo kajenga udom kwani kilianza 2006 wakati wa kipindi cha utawala wake.
 
Siku Jk akiondoka madaraki. Tutafanya mikesha ya kumshuru Mungu misikitini na makasani. Maana kwa mienendo yake anatuboa sana. Huyu bwana Siyo risiki kabisa ni balaa na mikosi tupu!!!
 
Eti mkapa kajenga chuo kikuu udom ..siyo kweli

Acha ushabiki dogo, mkapa anasifika kwa kuuza mali za umma kuanzia nyumba hadi madini

Nilijua ni mimi tu ndiye sijui, kumbe mchambuzi kakosea kama ni hivyo ameliona hili la UDOM kuwa lina umuhimu hivyo ampe sifa aliyelileta aache ushabiki.
 
huwa na waza nitatumia dawa gani na mganga gani ya kupuluza kwenye atmosphere ili watanzania wabadilike. yan tumekuwa mazuzu.

ahsante mkuu kwa uchambuzi yakinifu
 
JK kafanikiwa kuwapendelea waislam:Tazama BOT,NSSF,BALOZI ZA NJE

na ndio maana alimteua Bendo ndulu kwa sababu ya Dini Yake! Inawezekana hujui unachosema, huyo wa NSSF uiza aliteuliwa na nani? Na waziri wa mambo ya nje ni dini gani? Kisha uje upya hapa!
 
Mi huwa naona aibu kusema JK ni Rais wangu,maana tangu aingie madarakani hali ya uchumi inazid kudorora.
 
Chuo kikuu dodoma ni wazo la Chadema toka mwaka 1992

Hakuna ilani yoyote ya CCM inayoonesha wazo la kuibadili Dodoma kuwa University City
 
Utawala wa kikwete tumejua mengi yalofichwa na che nkapa kama kuwapa fungu la mabilion ya shilingi wakristo kuuwa waislam mwembe chai kukwapua madini na kuuza utu wa mtanganyika kuwaua wa zanzibari mwaka 2000 kiwira mwadui korosho kuwaweka wakatoliki kila nyanja anza na TRA kitilya mpaka mfagiaji wote wakatoliki dah che nkapa kiboko
 
Back
Top Bottom