Hi nayo kali kweli kweli usiku kuwa mchana..Faza house nae | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hi nayo kali kweli kweli usiku kuwa mchana..Faza house nae

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kazakuku, Aug 28, 2011.

 1. Kazakuku

  Kazakuku JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 262
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kwa habar za ki intelejensia zinasema kwamba hatimaye mzee wa kaya a.K.a Faza house aamua kusafili kwenda nje usiku na kurudi usiku tena bira hata ya kuutangazia uma kwani imeonekana raia wengi wa tanzania mnanuonea wivu anavyodhuru ktk nchi mbalimbali na kujionea mambo mengi yanayotokea dunian ambayo watanzania wengi hata kwa ndoto hamtalajii kuyaona kama bembea,white house,kushkana na obama na pia kuwa faza house wa kwanza Afrika kuonana na Obama.Nawathilisha.
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  :bange:
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Aug 28, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Kwani kaenda wapi?
   
 4. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Aaaagh! Umekosa vitu vya maana na kuvipost? Kama huna sometimes unaweza kucomment tu za wengine au kubaki kimya!sio kutuletea upupu na kuijaza bure sever ya JF bila manufaa. Ukitaka kuanzisha thread kaa kwanza na ufikiri je inamanufaa kwa wanaJF? Sio ilimradi na wewe uonekane tu kuwa umepost. Nadhani umenielewa pamoja na wengine wenyetabia kama zako.
   
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ukweli uwekwe hapa,lete roster yake ya mwezi ili tuikague unaweza ukakuta ina manufaa.
   
 6. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,980
  Likes Received: 20,370
  Trophy Points: 280
  Bangi la wikend baya sana
   
Loading...