Hi JF!

Jul 27, 2021
31
29
Habari watumiaji wote wa Jamii Forums

Mimi ni mgeni yaani kwa muda nilikuwa natumia jamiiforums kuperuzi tu ika kuna muda nikaona kuna mada kadha wa kadha nakuwa na ile hali ya kutaka kuchangia kwa maana ya kukoment jambo ambalo nisingeweza pasipo kuwa na akaunti ndio maana nimeamua sasa kufungua hii akaunti ili niweze kufanikisha hilo

Wakuu mnikaribishe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom