Hi every one:)

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,145
9,207
hi every one im so happy to be here to share my thoughts and listen to other people opinions. most important is the way we get breaking news from Tanzania.... this is one of the greatest site to join i will suggest it to any one ... Asante.
 
now,,,karibu jamvini....

hahahahahaahah inabidi nicheke ndugu yangu.....
hii thread mi nilisha isahau we umeenda kuifukilia wapi ndugu yangu???
na ona leo mmmmmhhh kuna kitu...
we unanikaribisha leo nawakati mi tayari niko hapa kwa muda..
birthday yangu ilikuwa jana we unani tumia salamu leo...
mmmmmmmhhh ndugu yangu kuna ni tena ..
hahahahahahahah lol
 
Kwani kafanya vibaya....labda alikuwa kwenye vacation wakati umeingia na hakupata wasaa wa kukaribisha....lol!
 
hakufanya vibaya kabisa .......
na sababu kashanipa ......
asante muheshimiwa...
 
sasa afro na shossi yupi wa kumkaribisha mwenzie?nikaribisheni na mimi basi hata kwa ushairi
 
hahaahah lol
ukistaajabu ya MUsa hahah lol
hiii ndo raha ya JF dear lol

na we karibu sana
 
sasa afro na shossi yupi wa kumkaribisha mwenzie?nikaribisheni na mimi basi hata kwa ushairi

Karibu mgeni karibu kiti ukalie
Karibu mpaka ndani na mziki utuchezee
Au tukupe mripa uchezee?
Zenye maana posti nazo utuwekee
Stori tamu utuhadidhie
KAribu sana jamvini wit

Leo nimechoka ila nitakupa tunza yako ipo siku utafurahi.
Jinsia yako wazi utu
 
hi every one im so happy to be here to share my thoughts and listen to other people opinions. most important is the way we get breaking news from Tanzania.... this is one of the greatest site to join i will suggest it to any one ... Asante.

...."Hi"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom