now,,,karibu jamvini....
Kwani kafanya vibaya....labda alikuwa kwenye vacation wakati umeingia na hakupata wasaa wa kukaribisha....lol!hahahahahaahah inabidi nicheke ndugu yangu.....
hii thread mi nilisha isahau we umeenda kuifukilia wapi ndugu yangu???
na ona leo mmmmmhhh kuna kitu...
we unanikaribisha leo nawakati mi tayari niko hapa kwa muda..
birthday yangu ilikuwa jana we unani tumia salamu leo...
mmmmmmmhhh ndugu yangu kuna ni tena ..
hahahahahahahah lol
sasa afro na shossi yupi wa kumkaribisha mwenzie?nikaribisheni na mimi basi hata kwa ushairi
hahahahaah lol
alieenda kuitafuta hii thread ananitafuta uchokozi hahah lol
hi every one im so happy to be here to share my thoughts and listen to other people opinions. most important is the way we get breaking news from Tanzania.... this is one of the greatest site to join i will suggest it to any one ... Asante.