Hezbollah ililenga roketi 20 Israel kama majibu ya roketi zilizolengwa katika ardhi ya Lebanon

Mkuu hapa Tanzania kuna Watanzania Waarabu na kuna Watanzania Waajemi. Wayahudi sidhani!

Anayeshabikia Waarabu/Waajemi sioni tatizo. Tatizo lipo kwa anayeshabikia Wayahudi nadhani hao ndiyo wanaoangukia kwenye ukarasa wa dini
Na wenyewe wakiskia mtu anajita myahudi wanaweza wakamuua mtu huyo, jamaa wanajiona bora kuliko binaadam mwengine wakati wao ndio walioko chini zaidi ya chini maana hata mjumbe wao Yesu walimkimbiza
 
Iran akianza kulizwa, mtu asiingilie, tusisikie mtu analia lia, sasa hivi Iran itakuwa nyekundu. Majibu ya Israel subiri muone.
Israel had 40 years to strike Iran. When Iran was at its weakest, it didn't get struck. Israel cannot even strike Lebanon, you're talking about Iran ?
 
Israel atawaonea Waarabu tu, lakini Waajemi hawagusi anawaogopa. Wiki tayari sasa imeisha tunasubiri alipe kisasi lakini wapi
 
Israel ana visasi viwili, kwanza hizbullah cha juzi bado ajalipiza, kingine cha Iran cha wiki iliyopita sasa sjui ataanza na wapi
 
Mkuu hapa Tanzania kuna Watanzania Waarabu na kuna Watanzania Waajemi. Wayahudi sidhani!

Anayeshabikia Waarabu/Waajemi sioni tatizo. Tatizo lipo kwa anayeshabikia Wayahudi nadhani hao ndiyo wanaoangukia kwenye ukarasa wa dini
Wasabato ni Wayahudi.
 
Back
Top Bottom