"Hey" as a form of greeting

Kisura

JF-Expert Member
Jun 21, 2007
364
26
How do you feel when someone greets you with "hey" as they would by saying "good morning" "hello" and the like? Or, find email popping up your screen with subject line, "Hey" you ?

Personally, I get offended with this, I am not sure how others feel, or maybe I'm just freaking out for no reason at all, which tends to happen often times these days.

At any rate, what are your views on this subject matter? I have tried to respond to folks politely in a manner of showing my disappreciation for the word used, lakini some people bwana are just boneheaded, just can't take a hint…what the hell! I feel this word is appropriately used, if anything, it should be directed to Horses etc.

Help me out; I would like to hear your views.
 
You get offended easily? Mimi siyo salamu ya "hey" hasa inayonikera.. ni pale mtu ambaye anajua jina lako au mnafahamina anapoamua kukuita na kusema "hey"...
 
...hata hiyo pia, ingawa sidhani kama inatokea sana kwangu, ila hizi hey za kusalimia asubuhi ndio zinanikera,

I get offended easily, lakini ni hali ya hili tumbo tu, heheheh....
 
Kumwambia mtu "Hey" its just rude period.
Ila kuna watu hiyo imewakaa sana kinywani.....mara nyingi huwa siitiki hata kama unaniangalia ukiniita na "Hey".
 
Aisee nimezoea sana kutumia Hey, kumbe watu wanakuwaga offended halafu hawaniambii, basi nitaacha kuanzia leo.
 
You people are too sensitive these days...you are accutely attuned to political correctness....

Some people get offended when you use "you people".......I meant no offense by it
 
Agreed NN, kusema ukweli I don't find it rude at all. Naonaga ni kama salaam za kawaida kama mtu anaposema Hello, Kisura na wenzako mko too sensitive.
 
Naombeni tofauti kwa nini mtu anaposema "Hello" unakuwa hauko offended lakini anaposema "Hey" unakuwa offended. Tofauti yake ni nini? Maana ya neno, jinsi ya utamkaji, facial expression ya mtu anayetamka hilo neno, muda ambao hilo neno hutamkwa? Naombeni majibu, Kisura and wengine mnaokuwa offended na hili neno.
 
Agreed NN, kusema ukweli I don't find it rude at all. Naonaga ni kama salaam za kawaida kama mtu anaposema Hello, Kisura na wenzako mko too sensitive.

Be that as it may, does not change fact that the word is inappropriately used. "hey" is not to be used to greet one, if you have to, use it appropriately, (assuming you understand what "hey" as an interjection is used for.)
 
Hilo neno sio form of greeting bali lina maana mbili. Linaweza kutumika kati ya wale wanaoelewana sana au kwa kuonesha kumdharau mtu, kumkejeli mtu au kumtaka ugomvi tu.

Hapa namaanisha mtu kaamka na pombe zake pale mitaani New York au London na anakuona unatoa fwedha kutoka ATM na anakwambia, "hey, do you have some spare change please?". Hio kwa Tanzania ni kutafuta ugomvi manake hujaonesha heshima katika kuomba.

Pili linatumika kwa kuonesha "excitiment" hasa kwa kumuona mtu kwa mara ya kwanza baada ya kummiss kwa muda mrefu kidogo iwe nyumbani , kazini au mitaani tu.

Unaweza kwa mfano ukasema , "Hey Catherine how are you, where have you been. I haven't seen you for a while!"

Kwahio don't get offended esily but get used to it depending na mazingira neno hilo linatumika.
 
Je kwa mitaa ya NY ni dharau pia mtu akikuita hivyo? Au ni kwa Bongo tu? Hili neno nadhani linapingwa na baadhi ya watu wachache na pia inawezekana likaonekana ni dharau kwa baadhi ya maeneo. Nadhani wengi wenu mnatumia dhana ya utamkaji wa hilo neno kuliko maana halisi ya neno lenyewe. Dhana hii inaweza kulifanya neno lolote liwe offensive. Hata neno Samahani au Naomba linaweza kuwa-offend baadhi ya watu kutokana na utamkwaji wake. Bado hamjanijibu ni kwa nini mnadhani hili neno ni offensive to people.
 
Mazee, neno lolote linaweza kuwa offensive kama mtu akilichukulia hivyo. Kwa mfano "you people".....waite wanugu hivyo uone....

Ila ndio maisha yalivyo babu na watu tumetofautiana viwango vya kukasirika.
 
Je kwa mitaa ya NY ni dharau pia mtu akikuita hivyo? Au ni kwa Bongo tu? Hili neno nadhani linapingwa na baadhi ya watu wachache na pia inawezekana likaonekana ni dharau kwa baadhi ya maeneo. Nadhani wengi wenu mnatumia dhana ya utamkaji wa hilo neno kuliko maana halisi ya neno lenyewe. Dhana hii inaweza kulifanya neno lolote liwe offensive. Hata neno Samahani au Naomba linaweza kuwa-offend baadhi ya watu kutokana na utamkwaji wake. Bado hamjanijibu ni kwa nini mnadhani hili neno ni offensive to people.

Kwa kifupi neno la kistaarabu ni "excuse me!" kwa kutaka attention ya mtu na sio neno hey ni neno la mitaani au tuite informal.

Hivyo kutegemea na mazingira ya utumiaji wa neno hilo ndio kutaonekana kama ni offensive au vipi.

Unaelewa nini from nowhere jamaa anakuita hey, na anasema, "give me the money".
 
Be that as it may, does not change fact that the word is inappropriately used. "hey" is not to be used to greet one, if you have to, use it appropriately, (assuming you understand what "hey" as an interjection is used for.)
What do you mean by saying the word is being used inappropriately, you haven't addressed my objection as to what is really the offensive nature of the word, is it the way ones sound when saying the word "Hey" or the actual meaning of the word is degrading to anyone.
 
Kwa kifupi neno la kistaarabu ni "excuse me!" kwa kutaka attention ya mtu na sio neno hey ni neno la mitaani au tuite informal.

Hivyo kutegemea na mazingira ya utumiaji wa neno hilo ndio kutaonekana kama ni offensive au vipi.

Unaelewa nini from nowhere jamaa anakuita hey, na anasema, "give me the money".
Hapa nadhani ni uchaguzi tu wa mtu ni neno gani kutumia, kwa sababu hata neno Hey linaweza kutamkwa in way na kuwa neno tamu na lenye mvuto wa hali ya juu. Mfano ya gal anakwambia, Hey honey, I missed you. Je hapa mtu utakuwa offended au vipi?
 
Ndio mkuu, tupo pamoja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom