Hewa kujaa ukeni wakati wa tendo husababishwa na nini?

Monseur

JF-Expert Member
Dec 5, 2016
655
522
Nawauliza wajuzi watujuze kuhusu huu upepo unaojaa ndani ya uke wakati wa ngono huwa unasababishwa na nini?

Nahitaji na suluhu yake maana huwa unaharibu raha yote ya kufanya mapenzi.
 
Mzee dudu inakuwa imetit , tafuta pampu ya kujaza upepo kwenye taili la baiskeli, ndo hiyo mechanism inayotokea hapo kwenye k, otherwise usiwe unachomoa sana dudu mpaka hewa iingie.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kumbe ni sbb ya kuchomoa chomoa, huenda ina ukweli maana mara nyingi inatokea pale wakati wa kubadili style mfano kutoka missionary position kwenda doggy style.
 
Nawauliza wajuzi watujuze kuhusu huu upepo unaojaa ndani ya K wakati wa sex huwa unasababishwa na nini?

Maana huwa unaharibu raha yote ya kufanya mapenzi
Staili unayotumia. Kama ukichomoa mashine k inakua wazi hewa inaingia ukiingiza tena mashine unaifukuza hewa ktk shimo...ndio hiyo hewa!
 
Nawauliza wajuzi watujuze kuhusu huu upepo unaojaa ndani ya uke wakati wa ngono huwa unasababishwa na nini?

Nahitaji na suluhu yake maana huwa unaharibu raha yote ya kufanya mapenzi
Badilisha na mtu unaye mto....a uone titizo lipo kwako au kwa demu
 
Possible pia K ina tundu kubwa kulinganisha na uume wako, kiasi ikiingia inakuwa sio tight kiasi cha kuruhusu upepo kuzama wakati unatoa na wakati unasukuma una compress upepo then unakuwa unatafuta pakutokea hapo ndio unasikia mtu kama anajmba
 
Back
Top Bottom