heslb

stan b

Member
Sep 8, 2011
85
10
jamani hawa heslb kwa nn fom 6 wa mwaka huu 2cwawajibishe? sababu 2nayo na uwezo 2nao cjui kama nia 2nayo.
 
Nadhani ungependekeza hatua za kuchukua badala ya kuuliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu. Kwanza tueleze tatizo ni lipi. Sidhani kama form 6 wenzako wote wanalijua tatizo au wanaliona kama unavyoliona wewe.
 
Back
Top Bottom