Heslb

JUAK

Member
Aug 26, 2011
11
3
Jamani wanafunzi mpo wapi jaman,inatakiwa kuunganisha nguvu kwa wanafunzi wote kudai mkopo kwa kuwa ni haki ya msingi.mnaogopa nini kwani mmeshaanza chuo ndo mseme mtafukuzwa kama udom au
 
what are you waiting up to this moment my dear friends for those who didn't get the loan they are under stress they don know about their future about loan up to this moment ,where is peoples power
 
Nyie ndio mshachinjiwa baharini! Serikali ya Jk haina pesa..wenzenu wa udom walihaidiwa field na pesa juu, mwisho wa siku waliambulia virungu,mabomu na kufukuzwa..
 
watoto wa wakubwa wao hata wasipopata mkopo wanasoma,tena vyuo vya nje sasa wanchi wenza tuuganishe nguvu tuwatetee wanyonge maana bila loan hawataweza kusoma hata semister moja,
 
kila mji wenye wanafunzi waliokosa mkopo waandae maandamano ya amani faster kupinga utaratibu ulotumika kutoa mikopo mwaka huu pesa zipo ,tena ni mkopo mtarudisha mkimaliza kusoma
 
Ila km tungepata nguvu kutoka kwa hata waziri kivuli wa elimu, au mwanasiasa yeyote angeyeweza kuongelea tatizo hili, au hata viongoz wa vyama vya wanafunzi wa elimu ya juu, ingesaidia kuliko sasa tupo disorganized sana ambapo tunashindwa kupressurize bodi kutusikilìza.
 
Tusaidieni madogo zenu. Nyie tu mnapata mkopo and still mnasema life tight, je sisi ambao hatutopata chochote.. Enyi wenye nafasi ya kuweza kutupigia kidedea, tusaidieni. Enyi viongoz wa daruso, tusaidien madogo.!
 
duh.................hbu mkachakaze via2 road jamani mnasubiri nni tutatoka maofsini kuwaunga mkono
 
Togather we can ,but the problem is that we are far away 4rm LOANS BOARD.(NIKO MPAKANI MWA NCHI)
 
Heslb 2fikilien watoto wawakulima.why watoto wawakubwa wapate sisi tukose?
 
Ninacho kitabili ni migomo isiyo isha vyuo vikifunguliwa. HESLB wameshindwa kutumia historia. Mwaka 2002 wanafunzi kama 602 walidahiliwa bila ruzuku, vijana waliokuwa dar kwa kushirikiana na DARUSO waliweza kuunganisha nguvu mpaka kikaeleweka. Wanafunzi wasubiri wafungue. Wazazi 'watakaoweza' kulipa nusu ada ya udahii wafanye hivyo, watoto wakifika chuo migomo iwe non-stop.

Nawaomba viongozi wetu wa kisiasa waingilie kati kupanua "public pressure"
 
Jamatatu kunatetesi za kwenda tena wizarani...yakweli haya....mwenye taarifa rasmi atujuze
 
Jamani kuna wengine wamepata vyuo kwa second application lakn majina yao kwenye bodi ya mkopo hayajatolewa,na hao sijui watasaidiwaje?
 
Back
Top Bottom