Youngstunna
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 261
- 295
Msaada kwenye fomu za maombi ya mikipo Heslb,vp hapa kwenye kuambatanisha nakala ya cheti cha form6 sasa inakuaje hapoo na uku vyeti na result slip badooo na mwisho ni 31 July msaada plz wakuu.
Piga simu uliza, do not speculate pleaseHaiathiri kitu maana matokeo hayajatoka, Ambatanisha na Leaving kama unayo.
Kuwa makini unapojazaaaah sawa nimewaelewa wakuu.....asanteni kwa ushauri wenu
sawa mkuu.... tatizo langu lilikuwepo hapo tu.Kuwa makini unapojaza