Heslb

Youngstunna

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
258
294
Msaada kwenye fomu za maombi ya mikipo Heslb,vp hapa kwenye kuambatanisha nakala ya cheti cha form6 sasa inakuaje hapoo na uku vyeti na result slip badooo na mwisho ni 31 July msaada plz wakuu.
 
daaah kweli yani inachanganya kwel.... labda wadau wanajua hicho kitu watusaidie.......
 
Back
Top Bottom