HESLB yatoa mkopo awamu ya pili kwa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza 2018/19

ongera broo sahv maskini ndo tutasota mtaani mpk tukome maana no one cares alafu wengine tumetoa mpk vyeti vya kifo vya wazazi lkn ndo kwanza tunatupiliwa mbalii
Poleni sana aisee, si enzi zetu hata 80 kuna jamaa yangu alikata rufaa baada ya kupeleka documents kadhaa akapewa 90,Saiz nawaonea huruma sana hasa familia zetu wanaojua upo Chuo unapewa hela nawao wanataka uwasaidie ya chumvi
 
Mkopo wa siku hizi daah mtu anapewa asilimia 4?? Daah thanks Jk mm kipindi hiki university ningeisikia kwenye bomba tu,maana asilimia 80 niliyonilipia ada bila ivyo nisingeweza cos pale Udsm na ada ya 1.3m nilikuwa nalipa 260,000/=tu na nilikuwa nalipa nusu (130,000) kila semister kwa lilelile boom, stationary,na kulipia hostel.Hapo hapo umtumie mdogo wako ka 20secondary,daah saiz nisingeweza.Jakaya Mrisho kikwete Mungu akupe maisha marefu.
mkuu sidhani kama tutapata rais ambaye kwenye elimu alijitahidi kama Kikwete. enzi za Kikwete hakuweka vigezo vya hovyo vya kupata mkopo kama awamu hii ya sasa. enzi za Kikwete kigezo kikubwa ni kupata chuo basi. haiwezekani watu 75000 waombe mikopo halafu wapewe 40000 huu ni wizi mkubwa sana. zile 30000 za kuombea mkopo zinaenda wapi? wakati wa kampeni Magu aliahidi mikopo kutowekwa masharti lakini kilichopo sasa ni aibu.
 
Mkuu kuna mahusiano ya tarehe ya kutuma mkopo na kupata mkopo.Binafsi kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nilituma tarehe 23/07 ambapo ilikuwa ni week ya nyongeza hapo inakuwaje mkuu?
Kipindi napiga field pale tulikua tunaandaa batch kadri majina yalivyokua yanaingia,watu wamwisho wanatokea batch ya mwisho hvyo hvyo watu wa kwanza kutuma maombi.lakn pia kulikua kunasababu nyingine za kumueka mtu batch ya mwisho but sijui now wanafanyaje....kwan wew umeshapata mkuu??
 
Jamani naombeni msaana kwa mwenye majina ya loan allocation za chuo cha dit au kama yamebandikwa kwa waliofika tayari atusaidie ...
 
mkuu sidhani kama tutapata rais ambaye kwenye elimu alijitahidi kama Kikwete. enzi za Kikwete hakuweka vigezo vya hovyo vya kupata mkopo kama awamu hii ya sasa. enzi za Kikwete kigezo kikubwa ni kupata chuo basi. haiwezekani watu 75000 waombe mikopo halafu wapewe 40000 huu ni wizi mkubwa sana. zile 30000 za kuombea mkopo zinaenda wapi? wakati wa kampeni Magu aliahidi mikopo kutowekwa masharti lakini kilichopo sasa ni aibu.
Poleni sana
 
Bodi ya Mikopo inawasisitizia waombaji wa mikopo wenye sifa ambao hawajapangiwa mikopo, kuendelea kuwa na subira wakati ikikamilisha orodha inayofuata ya wanafunzi waliopata mikopo. Taarifa zitaendelea kutolewa mara kwa mara kupitia vyombo vya habari na tovuti hii ya Bodi.

Imetolewa na:

ABDUL-RAZAQ BADRU

MKURUGENZI MTENDAJI

BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

JUMATATU, OKTOBA 29, 2018
 
Hapana mkuu nimekosa batch ya kwanza na pili katika attachments zangu nime ambatanisha cheti cha kifo pamoja barua ya serikali ya mtaa kuthibitisha mama hana uwezo.Vipi nawezapata mkuu?
Mkuu utapata kikubwa zidisha maombi tu ila Nina iman utapata.mwaka Jana mtoto wa Jiran angu alifanya kama wew na alituma maombi on deadline day na jina lake halikutoka kwenye batch zote hadi mwezi wa kumi na mbili ndo akataarifiwa kwenye acc yake kua amekomba 100% hapo hapo akakopa nauli akakimbia chuo kupga kitabu.just be patient and pray
 
WAKUU JF,,, natanguliza shukrani. Mimi ni miongoni mwa wanufaika wa HESLB mwaka wa masomo 2017/18..... Nilipewa kiasi kidgo cha mkopo wang. Wakati wenzangu mwaka jana wanakata rufaa mimi ndio nilikuwa naripoti chuo,, na sikuwa na hata hela ya kwenda kukata rufaa steshonary. Hii ikasababisha mimi kubaki na hali yangu. Kuna swali Loan board naona hawanijubu kwenye email yao nikiwauliza,, naomba niliulize humu pia kwa magreat thinkers......

SWALI..... Je, ninaweza kukata rufaa mwaka huu wa masomo 2018/19 ili alau niongezewe vijichenchi mana hali ngumu hatar.
 
Bro Naomba number yako kuna vitu unisaidie
 
Bodi ya Mikopo inawasisitizia waombaji wa mikopo wenye sifa ambao hawajapangiwa mikopo, kuendelea kuwa na subira wakati ikikamilisha orodha inayofuata ya wanafunzi waliopata mikopo. Taarifa zitaendelea kutolewa mara kwa mara kupitia vyombo vya habari na tovuti hii ya Bodi.

Imetolewa na:

ABDUL-RAZAQ BADRU

MKURUGENZI MTENDAJI

BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

JUMATATU, OKTOBA 29, 2018
duh hii siasa Atakuja kutoa majina yasiyozidi elfu kumi na itakuwa over.
 
WAKUU JF,,, natanguliza shukrani. Mimi ni miongoni mwa wanufaika wa HESLB mwaka wa masomo 2017/18..... Nilipewa kiasi kidgo cha mkopo wang. Wakati wenzangu mwaka jana wanakata rufaa mimi ndio nilikuwa naripoti chuo,, na sikuwa na hata hela ya kwenda kukata rufaa steshonary. Hii ikasababisha mimi kubaki na hali yangu. Kuna swali Loan board naona hawanijubu kwenye email yao nikiwauliza,, naomba niliulize humu pia kwa magreat thinkers......

SWALI..... Je, ninaweza kukata rufaa mwaka huu wa masomo 2018/19 ili alau niongezewe vijichenchi mana hali ngumu hatar.
Bro mimi pia mnufaika wa mkopo 2017/2018 ulitakiwa kujaribu tena kwa kukataa rufaaa mwaka ulioomba mkopo.
 
Hapo hamna namna inabid usubr na kuomba Mungu maana bado batch znaendelea kutoka keep on waiting

unaposema asubiri kwamba bado batch zinaendelea una maanisha nini, kwamba asubiri jina lake kwenye batch nyingine wakati alikuepo kwenye batch ya kwanza?? haiji akilini,ushauri ni aende chuo au heslb.
 
Back
Top Bottom