HESLB: Yatoa mikopo 100% kwa wanafunzi 872 zao la TASAF regardless masomo waliohitimia|ashukuriwe Rais Samia kwa hii sera inayoinua watoto wa masikini

Kama hayo ndio maelekezo ya Mh. Rais basi HESLB wanamhujumu mkuu wa nchi maana wapo wanaotoka kaya maskini tena wanufaika wa TASAF na niyatima wa mzazi mmoja hawajapewa mkopo mpaka wamekata rufaa. Wengine wenye sifa kama hizo wamepewa hata haifiki asilimia 40.
HESLB inamhujumu mkuu wa nchi
Njoo inbox
 
Kama hayo ndio maelekezo ya Mh. Rais basi HESLB wanamhujumu mkuu wa nchi maana wapo wanaotoka kaya maskini tena wanufaika wa TASAF na niyatima wa mzazi mmoja hawajapewa mkopo mpaka wamekata rufaa. Wengine wenye sifa kama hizo wamepewa hata haifiki asilimia 40.
HESLB inamhujumu mkuu wa nchi
Kweli kabisa ,Mimi ninaye Tasaf halafu mzazi mmoja mlemavu lkn kakosa kabisa.
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Leo ndio nimeona umuhimu wa Safari za nje za Rais,

Wawekezaji 111 kwa mpigo huku 40 niwawekwzaji wakubwa kabisa,

VIVA SAMIA VIVA||VIVA TANZANIA VIVA
Leo ndio nimeona umuhimu wa Safari za nje za Rais,Wawekezaji 111 kwa mpigo huku 40 ni wawekwzaji wakubwa kabisa......

UMEACHA MENGI SANA BADO MKUU ONGEZEA NYAMA KIDOGO.

VIVA SAMIA VIVA||VIVA TANZANIA VIVA
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Nawasalimu kwa Jina la JMT,

Sera ya bodi ya mikopo ya Elimu ya juu ( HESLB ) dhidi ya wanaopewa mkopo 100% ni wale tu wanachukua masomo ya Sayansi kama Udaktari,

Wale wanaochukua masomo yasiyo ya Sayansi hupewa mkopo chini 100%

Mambo ni tofauti kwa awamu ya Sita chini ya Rais ya Samia Suluhu Hassan ameagiza watoto wote waliotoka nyumba zinazohudumiwa na TASAF wapewe mkopo 100% hata kama wanakwenda kusoma masomo yasiyo ya Sayansi.

Namkopo huo wa 100% wapewe kabla hawajafika chuoni, that's Mama.

👇🏿
👇🏿

______________________________
The Higher Education Student Loans Board (HESLB) has announced a list of 872 students who will receive 100 percent loans regardless of the subjects they have been selected to join.

That number is for applicants who are certified to be from poor households that are serviced by the Community Development Fund (Tasaf).

The statement was issued on Wednesday, September 15, 2021 by the board’s executive director, Abdul-Razaq Badru during the signing of a loan agreement for applicants from poor households.

TASAF HESLB: 782 Students To Get 100 percent of Loan

Badru said the students will receive loans before starting classes to reduce inconvenience. He said the program is sustainable and they have already put in place a system to monitor them from primary schools to form six.

“We have developed a joint system with our colleagues in the Ministry of Education and Tasaf, we will be identifying students early so their application will have its priority,” said Badru. You can read also below


VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA View attachment 1942133
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Kwa speed hii ya Rais Samia, Tanzania huenda ikaibua mabilionea wapya 100 miaka miwili ijayo,Tufanye kazi kwa bidii zaidi
 
"Team JF "

Kama maambukizi ya COVID -19 yanaongezeka siku hadi siku, nilazima kuchanja kwa hiari ili kujinga,

#Kuwa Supa kachanje,
 
"Team JF "

Kama maambukizi ya COVID -19 yanaongezeka siku hadi siku, nilazima kuchanja kwa hiari ili kujinga,

#Kuwa Supa kachanje,
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Kiongozi anaejali Elimu ya juu kwa kutoa mikopo watoto wa maskini wasome namkubali sana hata maombi namkumbuka wakati wa sala...Ahsante sana Mama.
 
Back
Top Bottom