Tetesi: HESLB yatoa majina ya mkopo walioappel kwa mwaka wa masomo 2018/2019

Domayo

New Member
Nov 25, 2018
4
2
bodi ya mkopo yatoa majina ya wanafunzi walioappeal kwa mwaka wa masomo 2018/2019 na tayari baadhi ya vyuo washapelekewa majina ya wanafunzi kama udzm
 
Umekurupuka! Tovuti ya Heslb haina taarifa kama hiyo. Weka uthibitisho hapa. Hata hivyo kinachotakiwa si majina ya walioappeal bali ni matokeo ya appeal hizo.
Awali Heslb waliahidi kutoa matokeo ya appeal hizo mwishoni mwa Novemba, lakini mpaka muda huu tunaelekea katikati ya Desemba bado Heslb hawajatoa matokeo ya appeal hizo. Kulikoni?
 
Ni kwel wametoa mzee sema tatzo unakuta chuo kizima watu watatu tu ndo wamefanikiwaaa hahahahaahaha
 
Write your reply...mbona akuna sasa wekeni umu nasi tuangalie bac ili tujue kama tuna airisha mwaka au vp
 
Majina yanapelekwa vyuoni, huwezi kuaapeal kama hujajisajil chuo, hivyo bas mjina yakitoka yanaenda chuo husika
 
Write your reply...mbona sisi udom akuna majina tumekosa wote inamana nifungashe kilicho changu maisha magumu uku nimeshindwa kushindia maandaz na maji ya chumvi sijaua kwetu shule ipogo tu ila afya yangu muhimu zaid yq shule
 
Back
Top Bottom