Heslb wasalimu amri

General mex

Senior Member
May 1, 2011
158
185
Wadau mimi ni mmojawapo kati ya wale tuliokua wizara ya elimu kulalamika kuhusu kunyimwa mkopo na heslb. Kwa taarifa mpaka tulivyoondoka pale wizarani saa 12 jioni, bodi ya mikopo ilikiri kua kuna matatizo mengi yaliyojitokeza kwenye ugawaji wa mikopo. Ila kilichoamuliwa ni kwamba, wata review yale majina ya wote waliokosa mikopo ambao walikua na vigezo wapate mikopo. Ila walichoongelea sana ni kwamba watatoa taarifa kwa kila aliekosa mkopo ili ajue ni kwa nini amekosa. Kwa hyo wataongezea pale kwenye matokeo ya chuo maelezo kuonesha sababu. Baada ya hapo xaxa 2tajua cha kufanya kwa maana wamedai kuna watu form zao hazikufika ilhali kumbe wana hadi risiti za Ems! Ila suala la kwamba, mikopo itatolewa tena ama la? Wamedai ni mpaka waziri atoe tamko. Watafanya mkutano hivi karibuni. Lets hope that they will not cheat us. Amen. Nawasilisha kwenu wana jf..
 
Safi xana kaka kwa kutuwakilisha endelea kuorganize people waliokaribu na bodi kudai haki yetu ya msingi.natamani xana kuungana nawe ila niko border.
 
Huo usanii mnafanyiwa madogo...wanataka wawaandkie 7bu za kukosa mkopo,mbona me kwa mdogo wangu mwenye dv 2.10,wamemuandkia eti coz yake ni non priority au wanataka kuandka nin tena,kudadeki ngoja 2rudi vyuon,lazima 2lianzishe yani.hii nchi ni ya wote co wachache 2.
 
nimechanganyikiwa sana.nimefaulu hafu nakosa kwenda chuo et coz ya MKOPO?Huu ni upumbavu sana hiv TZ 2taendelea lini?safi sana KAKA huo ndo MPANGO MZIMA 2kinyamaza nao wanaweza KUNYAMAZA so Hapo ni KUKAZA but Mwanzo mwisho.mpaka wa2pe MKOPO
 
Bodi wanalipana mishahara mikubwa na wapo pale si kwa ajili ya wanafunzi bali kwa maslahi yao binafsi.
 
Sababu walizotoa ni kwamba, eti kuna watu form zao hazikufika kwa hyo ikaonekana hawakuomba mkopo. Wengine wanadai eti walifoji namba za vocha ile ya kulipia m pesa. Kwa hiyo kama m2 akiambiwa sababu hyo na ana ushahidi atakataa na kuwaonesha vielelezo. Ila bado ni kuzidi kushinikiza ili kweli wajue watu wanahitaji mikopo.
 
Usanii ni kweli nakiri!!!!
Huo usanii mnafanyiwa madogo...wanataka wawaandkie 7bu za kukosa mkopo,mbona me kwa mdogo wangu mwenye dv 2.10,wamemuandkia eti coz yake ni non priority au wanataka kuandka nin tena,kudadeki ngoja 2rudi vyuon,lazima 2lianzishe yani.hii nchi ni ya wote co wachache 2.
<br />
<br />
 
xaxa 2tajua.

Nakutakieni kila lakheri mpate mikopo muendelee na masomo yenu.

Lakini kitu kimoja mkuu jitahidi kuacha kutumia lugha ya namna hiyo (xaxa,2tajua etc.). Mazoea yana taabu usipoacha sasa utajikuta hadi katika maandiko muhimu (mfano mitihani yako chuoni) unaendelea kutumia uandishi huo. Kwa uzoefu wangu wa usahihishaji mitihani nimeliona hili mara nyingi sana. Jaribu kubadilika umekua sasa mambo ya sekondari yabaki sekondari.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Huo usanii mnafanyiwa madogo...wanataka wawaandkie 7bu za kukosa mkopo,mbona me kwa mdogo wangu mwenye dv 2.10,wamemuandkia eti coz yake ni non priority au wanataka kuandka nin tena,kudadeki ngoja 2rudi vyuon,lazima 2lianzishe yani.hii nchi ni ya wote co wachache 2.
My wishes for you all to be supported by this HESLB; my advice to you please avoid sms language because of its replications pursuant your further education. May be privately but not in publicly uses.
 
Back
Top Bottom