HESLB Wanavyotafuna Mikopo na Uchunguzi wa Bodi 2011

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Ndio nimemaliza maandalizi ya msafara wa kumuona "Bibi" na hiki ni kiporo cha uchunguzi. Mlioko nyumbani mtasoma kwa kirefu kwenye "KULIKONI". Kwa kifupi kabisa kwenye nakala hii ya uchunguzi wa kina wa jinsi gani bodi inayowakatalia kuwalipia vijana wetu fedha za masomo Ukraine wakati huo huo wakimegeana na kugawiana fedha kama njugu. Majina yote yanayotajwa humu yanaweza kuangaliwa kwenye tovuti ya bodi ya mikopo hapa http://www.heslb.go.tz. Ukiingia kwenye tovuti hiyo search majina hayo utaona mwenyewe!

Tafadhali wapitishie wanakijiji wengine.

Na ukimaliza, hakikisha unatia sahihi petition ya "Msolla must go".

Alamsiki.
 

Attachments

  • uozobodiyamikopo.PDF
    107 KB · Views: 821
Hao board huwa wanashirikiana na baadhi ya viongozi wa vyuo na pia wanafunzi kutafuna hizo pesa.

Kwa pesa zinazotumwa nje hata ni rahisi zaidi maana wanapata receipt bank kwamba zimetumwa kumbe wajanja wameweka ndani.

Hivi tunasema nchi yetu ni maskini? Akili zetu ndio maskini, ubinafsi umejaa toka vidoleni mpaka kwenye unywele.
 
I doubt hii post haiko kwenye category husika, I think nayo iende Elimu... Naiacha kwa muda kadhaa ili wale wanaohitaji ku-download attachment waichukue (japo wanaweza kui-download tokea huko huko 'Elimu').

Be Right Back
 
Ni juma hili mzee Yebo Yebo, itakuwa ni kwa siku 2 kama alivyosema Mheshimiwa Spika.

Mwanakijiji umefanya vema kutupa uozo huu, thanks
 
Sasa hela zote hizo zinaingia mifukoni mwa nani? Hivi inawezekana kuwa wakati wanakubalia watu mikopo hawaangalii majina yanayojirudia rudia? Je, inawezekana maafisa wa vyuo fulani na wenyewe wako kwenye mgao?

asante.
 
kuna wachagga wangapi kwenye bodi ya mikopo? mara nyingi taasisi ya umma ikiwa na matatizo kiasi hicho sababu yake huwa ni watendaji wa kabila la "wakilimanjaro."
 
Mwenyekiti ni Nimrodi Mkono na Mkurugenzi ni Nyatega, Waziri wa Elimu ya Juu ni Prof. Msolla, makamu wake ni mama Kabaka, Katibu Mkuu ni Mama Katunzi, Naibu wake ni Gesimba. Hadi hapo nafasi zote za juu zinashikiliwa zaidi na watu wa magharibi.
 
Bi.Senti 50,
Lazima kuna shemeji zake Mkapa huko, au ndugu zake Msuya. wale wanafunzi wa Ukraine wangekuwa "wakilimanjaro" wangepatiwa mkopo bila usumbufu.
 
Hivi hii ripoti naweza kuichapisha na kumtumia kiongozi mmoja hivi au ndio mambo yana haki za kunakili?
 
Back
Top Bottom